Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mwalimu wa kipaimara!!..?Hakuna hata askofu mstaafu awakilishe!
Hawa hapa wanaendelea na ibada zao huko Roma
Hachezei fedha, Wana miradi mingi ya biashara ,inazalisha na waamini wanatoa sadaka kwa kazi hiyoUjinga ujinga tu, wanachezea pesa tu. Kama ishu ni ibada, wangeifanya Tz, au Mungu hasikii maombi toka Tz?
These are petty issuesIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Kwani hujaona mkuu?serikali inafanya matambiko?
Kufanya nini, hivi na USA Rais anafungua majengo? Mara mashimo ya vyoo, mara madarasa,,,petty issuesWaseme tu wameanza kujitambua kwani wasingeshindwa kupeleka hata Mwakilishi.
Kama sio kijitambua, basi kuna jambo nyuma ya pazia.
sijaona ngoja niangalie onlineKwani hujaona mkuu?
SawaIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Hawaamini kifo cha jembe kama kilikua cha MUNGU, isitoshe mamlaka ya sasa haijatokana na waoIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Mwakilishi alikuwepo ?Maaskofu wote walikuwa na ziara maalum Vatican na wamemaliza kikao maalum na Papa Francis. Hata katibu mkuu TEC yupo huko! Nafikiri jimbo kuu Dodoma watakuwa wametuma mwakilishi.
Sasa kama wako nje ulitaka umwone Askofu gani? Ila nchi hii imejaza matakataka aiseeweIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Majimbo yote yapo chini ya Maaskofu wastaafu na wasimamizi wa kitume, Maaskofu wapo RomaSio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!