Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Tupo Roma na sio kama atukutaka kuhudhuria. acha Uchonganishi
 

Attachments

  • EF88947D-0D45-40F1-9AE3-9C82A23DB07D.jpeg
    87.5 KB · Views: 2
  • 0EED685C-A4F7-4C9F-8F0B-59500F6850B1.jpeg
    88.6 KB · Views: 2
  • 4D7850C5-FEB2-4E9A-A32A-1CA908EA7F29.jpeg
    133.2 KB · Views: 2
  • 0F07D001-60E4-47D9-A8F8-D4D273BA2B16.jpeg
    127.6 KB · Views: 3
  • B299DB72-FAC4-43FC-B927-FA211B35D51C.jpeg
    102.1 KB · Views: 1
Je kanisa katoliki laweza kumpa mtu upadri ama uaskofu wa heshima.?! Kama ambavo wako madaktari wengi wa heshima./udaktari honoria.
Kama Pepo unaweza patikana kwa Heshima pia unaweza pata Upadre wa Heshima
 
 

Attachments

  • 033E59DF-BC7D-4702-A9F7-FC5DB3C7A48B.jpeg
    87.5 KB · Views: 2
  • 8231369F-AD77-42E7-AFDC-35DCA0D18E28.jpeg
    102.1 KB · Views: 2
  • 594F798F-CF7A-44C9-8BF5-985E5906EDD5.jpeg
    88.6 KB · Views: 2
  • E94D76F4-153C-406D-9DCE-FF2E03D88294.jpeg
    127.6 KB · Views: 1
  • 01197EBE-8C82-406D-BBAA-830BB223A5A6.jpeg
    133.2 KB · Views: 2
Kama Pepo unaweza patikana kwa Heshima pia unaweza pata Upadre wa Heshima

Waefeso 2:8-9. Imani anayo tayari, Neema ya upadri/uaskofu ni muendelezo tu. By the way hii ziara inaweza ndio utaratibu wao uliozoeleka wa heshima kwa mamlaka za wanadamu, kutoa udhuru ama ni kwasababu wameongozana na mstaafu muhimu kuondoa kushukiwa kusiko kwa lazima.
 
Tumeluwa watu wa kujadili vitu vidogo vidogo sana! Ukifuatilia vitu vidogo vidogo kila jambo utaliona na kasoro!
Itoshe tu kusema viongozi wa dini walikuwepo
 
Walimuandikia barua kuwa hawataweza kuhudhuria kwa kuwa walikua na safari ya kiroho Vatcan na Mama alikubali na kuwashukuru.
 
Kanisa Katolic na Mitume sio Kanisa lilioanza jana na sio Kanisa ambalo alijui au alifanyi kazi na Wanasiasa⌛️Toka kusajiliwa kwake Tanzania (Tanzania Makanisa yanasajiliwa kama NGO pale wizara ya mambo ya ndani)alijawai kuwa kinyume na Serikali na aitotokea hilo.Kanisa Katoliki Alifanyi maamuzi kutokana na Binadamu yeyote! Hili la kuto kuwepo Dodoma limetokea kwa sababu ya ratiba kuhingiliana na sio Vinginevyo! So tupunguze uzushi
 
Una chuki na ukatoliki mpaka unashindwa kujificha pole sana kwa maumivu ya moyo.
We jibu hoja hizo, mimi mwenyewe huwa nasumbuliwa sana Kupeleka hayo mabahasha ya tengeneza jimbo, ukikataa mtaa mzima wanakuchukia na kukusema vibaya, basi inabidi utoe tu.., halafu wanaenda kuzichezea, inabidi tuseme
 
We jibu hoja hizo, mimi mwenyewe huwa nasumbuliwa sana Kupeleka hayo mabahasha ya tengeneza jimbo, ukikataa mtaa mzima wanakuchukia na kukusema vibaya, basi inabidi utoe tu.., halafu wanaenda kuzichezea, inabidi tuseme
Pole kwa maumivu
 
Maaskofu hawapendi Upuuzi na Unafiki.
 
Alifanyi... alijawai... kuhingiliana... Duh! Kweli wewe ni chipukizi. 😆😆
 
Majimbo yote yapo chini ya Maaskofu wastaafu na wasimamizi wa kitume, Maaskofu wapo Roma
Sio kweli. Msimamizi wa Jimbo la Tanga Pd. Thomas Kiangio yupo Roma kwa Ad Limina Visit. Kwa sheria za kanisa katoliki, askofu mstaafu hawezi kuongoza jimbo wakati wowote, hata kama askofu hayupo, anayefuata ni vicar general!
 
Nyie mnawataka maaskofu wakafanye Nini kwenye uzinduzi wa jengo? Ni maaskofu watatu waliwahi kuhudhilia uzinduzi wowote ule tokea mchezo huu ulipoasisiwa na JPM wa kuombea ombea vitu.Vita vibarikiwa tu kazi hiyo hufanywa na Padre bila kujalisha ni Askofu au sio askofu
 
Ndio hawakuwepo Tatizo ni nini sasa?

Hayo ni Mambo ya serikali,mapadri,maaskofu waende makanisani mwao huko wakatubishe watu
 
Ujinga ujinga tu, wanachezea pesa tu. Kama ishu ni ibada, wangeifanya Tz, au Mungu hasikii maombi toka Tz?
Hayakuhusu mkuu.Ulichangia shingapi.Labda ni kwambie tu hiyo ni ziara ya kiuongozi inayoambatana hija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…