Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
Tupo Roma na sio kama atukutaka kuhudhuria. acha UchonganishiIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Attachments
-
EF88947D-0D45-40F1-9AE3-9C82A23DB07D.jpeg87.5 KB · Views: 2 -
0EED685C-A4F7-4C9F-8F0B-59500F6850B1.jpeg88.6 KB · Views: 2 -
4D7850C5-FEB2-4E9A-A32A-1CA908EA7F29.jpeg133.2 KB · Views: 2 -
0F07D001-60E4-47D9-A8F8-D4D273BA2B16.jpeg127.6 KB · Views: 3 -
B299DB72-FAC4-43FC-B927-FA211B35D51C.jpeg102.1 KB · Views: 1