Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Hachezei fedha, Wana miradi mingi ya biashara ,inazalisha na waamini wanatoa sadaka kwa kazi hiyo

✅ Wameenda kuongeza maarifa ya kuja kuongoza

✅ Wameenda Kupokea maelekezo ya kichungaji kutoka kwa Mkuu wao ( Papa)

✅ Kanisa Katoliki sio taasisi inayoendeshwa kienyeji kama zile za ( baba na mama mchungaji) ambao hujismulia nini Cha kufanya mwisho wa siku wanaleta madhara kama akina kibwetere, Makenzie, na akina ZUMARIDI kanisa inaongozwa kwa kaulimbiu ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Maarifa si wasome vitabu? Au huyo mwalimu si aje yeye mmoja huku kuliko kundi kubwa kumfuata huko? Maelekezo si awape kwa email?

Wanachezea pesa kwenda kusali huko, Mungu angewasikia hata wakasali huku huku, utumwa tu!
 
Wote wenye majimbo wapo Vatican. Wameenda kutoa hesabu ya hali ya Ukristo kwenye jimbo na kukutana na kiti cha Petro. Huwa kina mang’amuzi mengi kuhusu hali ya Ukristo kwenye nchi mahalia. Naamini hata wale ambao hawana majimbo wamestaafu lakini wana nguvu ya kwenda watakua wameenda kuonana na Petro na Paulo mitume nguzo za uanzishaji wa Ukristo.
😅😅😅😅
 
maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija.
Duh...!. Angekuwa ni ... event ingekuwa postponed and rescheduled ili kuhakikisha mjengo unapata baraka za Askofu wa kanisa Katoliki, Takatifu la nitumie!. Na usikute ndio maana, kila ikiwa ni zamu ya dini nyingine, then ni lazima awe ni wa dhehebu hilo!.
P
 
MAASKOFU WOTE WA TANZANIA WAPO VATICAN KWA HIJA YA KITUME - Ad Limina Apostolorum Visitatio
1684634150527.png

From 14th to 21st May 2023 the Catholic Bishops of Tanzania will visit Rome for the ‘Ad Limina’ visit. The visit is an opportunity for the bishops to pray at the tombs of St. Peter and St. Paul and to present reports to the Pope about the state of their dioceses
Kuanzia tarehe 14 -21 May 2023 maaskofu wote wa majimbo wapo kwenye hija ya Mitume maalum Rome



Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania likiendelea na hija ya kitume huko Roma, Hija ya Maaskofu wa Tanzania inaendelela mjini Vatican kwa kutembelea mabaraza ya kipapa na sehemu nyingine muhimu za kichungaji wakati wa ziara hii,ambapo mara baada ya kukutana na Baba Mtakatifu itahitimishwa Dominika tarehe 21 Mei 2023 kwa maadhimisho ya Misa Takatifu na Jumuiya ya Watanzania waishio,Roma na Italia kwa Ujumla.

Leo 19 May 2023 Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania limepata nafasi ya kusali mbele ya kaburi la Mtakatifu Petro huko Roma.Tazama video hii fupi ilivyokuwa

TANZANIA: Catholic Bishops in Tanzania Make Canonical Visit to the Vatican​

1 week ago May 2023

Sarah Pelaji
The Catholic Bishops in Tanzania are on ‘Ad Limina Apostolorum Visit, an obligatory visit to the Vatican in Rome made by all bishops from different countries in the world to meet with the Holy Father and Vatican officials,.

According to the Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference TEC Rev. Charles Kitima, the official visit starts on 14th -21st May this year.
All Catholic bishops from 34 dioceses in Tanzania including auxiliary bishops and the Secretary General of TEC are participating in the Ad Limina except Bishops Emeritus.

The Code of Canon Law dictates that the visits are supposed to occur every five years. The aim is to present a quinquennial, or rather, a detailed report on the state of a diocese.

Each Diocese presents to the Holy Father and the Vatican an update on the activities of the bishop and diocese in several areas, including the liturgical and sacramental life of the local Church, Catholic education, evangelization, communications, social teaching of the Church, the financial state of the diocese and more. The chapters roughly correspond to the departments and offices of the Vatican.

“This is a pilgrimage that involves all the bishops of the Catholic Church in Tanzania who are usually in accordance with the Church’s procedures, should meet the Holy Father after every five years to pray and visit the sacred places at headquarters of the Catholic Church in the World the Vatican, and presents detailed report on the status of their diocese” said Fr Kitima while addressing the staff of the TEC Secretariat.

TEC last AD Limina Apostolorum Visit was held in 2014. During the visit Pope Francis was impressed to know that all bishops were Tanzanian indigenous which proved the firm foundation of missionaries and the work of evangelization is done through internal missionary.

In his speech he stated that, the Church in Tanzania is blessed with many gifts for which we must all give thanks to God.
“I think, in the first place, of the impressive history of missionary work throughout the region.
Building upon the zeal and sacrifices of the first evangelizers, you must always maintain and foster this missionary imperative, so that the Gospel may increasingly permeate every work of the apostolate and shed its light on all areas of Tanzanian society.
In this way, a new and dynamic chapter in the great missionary and evangelical history of your country will be written,” he stated.

He was encouraged to know that Tanzania is committed to ensuring the freedom of worship that followers of various religions enjoy to practice their faith.

During Ad Limina, bishops are privileged participate the audience with Pope Francis, visit and conduct Masses at the major churches of Rome; St. Peter’s Basilica, St. Paul Outside the Walls, St. John Lateran and St. Mary Major. In addition, the bishops will meet with officials from many of the departments and offices in the Roman Curia.



Habari za ziada :
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alivyosoma masomo misa ya maaskofu mjini Vatican
 
Maarifa si wasome vitabu? Au huyo mwalimu si aje yeye mmoja huku kuliko kundi kubwa kumfuata huko? Maelekezo si awape kwa email?

Wanachezea pesa kwenda kusali huko, Mungu angewasikia hata wakasali huku huku, utumwa tu!
Una chuki na ukatoliki mpaka unashindwa kujificha pole sana kwa maumivu ya moyo.
 
Mathayo 16:23 NEN

Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”
Mt 16:18 Wewe ndiye Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu,wala milango ya kuzimu haitalishinda.
 
Waseme tu wameanza kujitambua kwani wasingeshindwa kupeleka hata Mwakilishi.

Kama sio kijitambua, basi kuna jambo nyuma ya pazia.
Kuna vitu itakua wananyimwa na Samia,wazee wa mrija hazina,na teuzi za wavaa kobazi labda zinawakwaza
 
Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?

Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Ma baba askofu wote wa TEC wako Vatican kwa ziara yao maalumu
 
PETRO aliambiwa arudi nyuma kwenye mazingira gani?
Na kipi kilitangulia?
Pia Usisahau alipomkata Yule askari sikio nini kilitokea😅
Inahitaji ufunuo wa roho mtakatifu kuelewa neno
Yesu ni Mungu mkuu


Huyo Roho Mtakatifu wa kanisa lenu mwambie akusaidie hili swali


The calling of Peter
Was it in Galilee and after John was imprisoned?


"Now after John was put in prison, Jesus came into Galilee ...

As he walked by the Sea of Galilee, he saw Simon and Andrew his brother casting a net into the sea: for they were fishers. And Jesus said unto them, Come ye after me, and I will make you to become fishers of men."

– Mark 1.14-17.
Or was it across the Jordan and before John was imprisoned?

"This all happened at Bethany on the other side of the Jordan, where John was baptizing ...

When the two disciples heard him say this, they followed Jesus ... The first thing Andrew did was to find his brother Simon and tell him, "We have found the Messiah" (that is, the Christ). And he brought him to Jesus.

Jesus looked at him and said, "You are Simon son of John. You will be called Cephas, which, when translated, is Peter. The next day Jesus decided to leave for Galilee."

– John 1.28-43.


"After this, Jesus and his disciples went out into the Judean countryside ... This was before John was put in prison."

– John 3.22-24.

Mt 16:18 Wewe ndiye Petro na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu,wala milango ya kuzimu haitalishinda.





Where DID they get their ideas?

Isaiah 22.20.

"And it shall come to pass in that day, that I will call my servant Eliakim the son of Hilkiah ... and I will commit thy government into his hand ... And the key of the house of David will I lay upon his shoulder; and he shall open, and none shall shut; and he shall shut, and none shall open."

Matthew 16.18-19.

“I also say to you that you are Peter, and upon this rock I will build My church; and the gates of Hades will not overpower it. I will give you the keys of the kingdom of heaven; and whatever you bind on earth shall have been bound in heaven, and whatever you loose on earth shall have been loosed in heaven.”
 
Hachezei fedha, Wana miradi mingi ya biashara ,inazalisha na waamini wanatoa sadaka kwa kazi hiyo

✅ Wameenda kuongeza maarifa ya kuja kuongoza

✅ Wameenda Kupokea maelekezo ya kichungaji kutoka kwa Mkuu wao ( Papa)

✅ Kanisa Katoliki sio taasisi inayoendeshwa kienyeji kama zile za ( baba na mama mchungaji) ambao hujismulia nini Cha kufanya mwisho wa siku wanaleta madhara kama akina kibwetere, Makenzie, na akina ZUMARIDI kanisa inaongozwa kwa kaulimbiu ROMA LUCUTA CAUSA FINITA
Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?

Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.

Iwe kama itakavyokuwa
 
TECH

Kwa taarifa tu, ata CDF mstaafu Mabeyo ameambatana a hao Maaskofu huko Roma

Je kanisa katoliki laweza kumpa mtu upadri ama uaskofu wa heshima.?! Kama ambavo wako madaktari wengi wa heshima./udaktari honoria.
 
Back
Top Bottom