Angalia ulivyo mnafiki na ndio maana Waswahili wanasema Mnafiki Hajifichi... na wengine wakaendlea; Mungu Hamfichi Mnafiki! Hapo juu umedai hakuna bifu kati ya Diamond na Kiba; hapa tena unageuka na kudai Diamond anamtumia Sallam kwenye ugomvi wake na Kiba! Unaona unafiki ulivyo mbaya?Umeelewa tofauti ukweli ni kuwa Diamond anamtumia Sallam kwenye ugomvi wake na Ali...ila amevumilia akashindwa sasa hivi anampiga vijembe kwenye nyimbo zake kabisa...Wao waki-post tembo sisi tuna-post show
Ni mmoja kati ya wale vijana 450,000 wanaosadikika kuwa wehuWewe ni nani wa kutuaminisha hili..!?
Hakuna hoja uliyotafuta manake ungetafuta, ungeambatanisha na reference/evidence ya madai yako kama hivi! Kwa mfano, the way ulivyoandika, unataka kuonesha kwamba collabo ya Ne-Yo na Diamond ilianzia Nairobi na ilikuja baada ya fitina za Sallam wakati endapo "ungetafuta" ungekuja na evidence kwamba:Mimi nimetafuta hoja zangu nimeleta na wewe nenda tafuta hoja zako ulete...sio uniambie niende kutafuta mwenyewe mkuu hatugombani hapa
Ule utafiti watanzania wengi ni vichaa hawajakoea kabisaKuna gazeti la leo limeuliza salam ni mtanzania? Achunguzwe kama wazazi wake ni wahamiaji afukuzwe ni mtu hatari na anafanana kijinsia na walee wa Syria
hivyo ndivyo mnavyojidanganya ndio maana hata Sallam interview nzima anang'ang'ania kusema kama Ali ana shida ya kusaidiwa amwambie amsaidie eboooooo kwani yeye Sallam ni nani kwenye Bongo flava?!Mwenzake Wema kaamua kunyoosha mikono juu yaishe sasa naona yeye Alli bado ana ile aibu flani hivi!!
Alli achana mashabiki maandazi wanaokuvalisha vyeo usivyovikaribia kabisa, wasanii wenzako wenye akili karibia woote sasa wamekubali kuwa upepo uko WCB na wanatoa ushirikiano!!
Ubishi wako ndio unaokudhalilisha mwenyewe mpaka kuropoka maneno yaliyokuvua nguo kabisa!
Kurudisha silaha nyuma haimaanishi ndio utaonekana umeshindwa vita, sam taim huwa ni kujipanga tu, JIANGALIE ALLI!!
Punguza Jazba mkuu tense taratibu....Neyo alikubali kufanya kazi na Ali na alikuwa fresh kufanya kazi na Diamond pia....ila Sallam alivuruga yote hayo baada ya kufika Nairobi na kuona Neyo akishangaa uwezo wa ajabu wa Ali kama alivyoshangaa R.Kelly mwaka uleHuyu jamaa kweli hamnazo kwa taarifa yako diamond walijuana na Neyo kupitia MTV MAMA Awards mwaka jana , baada ya mtv base kuuliza Neyo na diamond wakitumbuiza pamoja performance itakuwaje? Wabongo kibao wakaenda kwenye a/c ya Neyo ya instagram wakaanza kucomment zikawa comments kibao hadi mwenyewe Neyo akashangaa
Neyo alipofika South africa akawa anamtafuta diamond amjue vizuri ndo wakawa washkaji , kawa kawaida diamond mzee wa fursa akaitumia kuomba collabo na Neyo akamwambia nitarudi tena Africa kwenye coke studio tutafanya iyo kazi, Neyo alipofika nairobi diamond na uongozi wake wakamfuata Neyo wakafanya kazi na Neyo.
Sasa mashabiki wa Alikiba mkaa uko vijiweni mnadanganyana Sallam alienda kumzuia Neyo asifanye kazi na kiba wakati kiba mwenyewe anajua ukweli
Huyu nae kaja na porojo zake hapa
Hivi unadhani Neyo angekuwa amekubaliana kufanya kazi na alikiba nje ya coke studio kuna mtu angemzuia?
Watu wengine akili sijui mnazitumiaje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwaiyo sallam alimziba Neyo mdomo asiingie studio na kibaPunguza Jazba mkuu tense taratibu....Neyo alikubali kufanya kazi na Ali na alikuwa fresh kufanya kazi na Diamond pia....ila Sallam alivuruga yote hayo baada ya kufika Nairobi na kuona Neyo akishangaa uwezo wa ajabu wa Ali kama alivyoshangaa R.Kelly mwaka ule