Utakuwa mjinga sana kama unaamin watu wote ni sawa
😂😂😂Ni yule mke wako anaewapa watu namba na kukuambia hakuna mwengine zaidi yako? Mkuu atakuua uyo mwanamke
Tupo wazee wa indoors. Hahaha hapa nimejifungia peke angu nasikiliza hotuba ya Raisi wa Nchi.Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Soma nyuzi za nyum za uyu mtu, anaubavu wake w pili wanashida sanaKwani kiburi chake we kinakukosesha Mlo Mkuu?
Watuache kabisaIntroverts tuache. Tuone tu tunabwabwaja humu mitandaoni lakini laivu ni shida. Na ukijaribu kutulazimisha kuongea au kuchangamana na watu utatusababishia msongo wa mawazo tu na matatizo mengine.
Una hoja ya msingi lakini hujaifafanua vizuri.Hahaa wengine ni viburi kweli, ila mkuu kuna watu hawana karama ya kuongea sana hasa mbele za watu, ndio introverts hao aka antsocial yaan wenyewe wanaenjoy kampan zao hawapendi kuchangamana na watu