Hakuna cha introvert wala nini, ni watu wenye jeuri na kiburi wenye kuona sauti zao zina thamani sana

Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Angalau wewe umejua hili 😂😂😂😂
 
'Introvertism' ni trend iliyoibuka hivi karibuni, millenials wengi wanadai wao ni introverts kama sifa au fashion if you will.

Hii ni trend tu kama ilivyokuwa trend ya kila mtu kuhusishwa na freemason, unga nk. However, trend ya kujinasibisha na Introvertism inakufanya uonekane somewhat cool.

Wengi wao sio introverts wala nini na wengine ni kiburi tu kama mleta uzi alivyodai.

nashukuru kwa kulitambua hilo, ni viburi sana
 
Wat Kama Hawa ndo huwa siwezi hata kuongea nao

Yaan mtu unakuta anaongea na mtu yko mita 40 hkoo anapwayuka hatar hua nawakwepa Sana ,

Au Kila mda anapiga simu huwa sipokei kabsa bora nmtext,

Au ujuaji mwingi huwa nawasikiliza tu ,
hutaki kelele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Introverts tuache. Tuone tu tunabwabwaja humu mitandaoni lakini laivu ni shida. Na ukijaribu kutulazimisha kuongea au kuchangamana na watu utatusababishia msongo wa mawazo tu na matatizo mengine.
mzee kumbe na wewe introvert?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli waache viburi.
 
Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Huu uzi umenivunja mbavu kabla hata sijasoma Extrovert njoo huku
 
Waa
Introverts tuache. Tuone tu tunabwabwaja humu mitandaoni lakini laivu ni shida. Na ukijaribu kutulazimisha kuongea au kuchangamana na watu utatusababishia msongo wa mawazo tu na matatizo mengine.
Waambie mkuu,yaan mm hadi wapangaji wenzangu washaanza kuniwekea kikao,sina tabia ya kuchangamana ila pia hakuna kitu nakasirika kama mtu anaenigongea mlango whl nipo nawaza mambo yangu
 
Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Haya sasa,,,kazi kwetu.
 
Hakuna Maana Ya Maisha Kama Waandamu wangefanana Tabia, Haiwezekani watu wote kuingia Mbinguni, na Haiwezekani wote wakaingia Motoni

Vivyo hivyo Haiwezekani Watu wote kufanana Tabia hata kama Ingelikuwa Ni Mapacha wa siku 1. Ndio maana Kila Mwanadamu ana Hulka yake. Kiburi na Jeuri nayo ni Tabia.
 
Waa
Waambie mkuu,yaan mm hadi wapangaji wenzangu washaanza kuniwekea kikao,sina tabia ya kuchangamana ila pia hakuna kitu nakasirika kama mtu anaenigongea mlango whl nipo nawaza mambo yangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hahahaa introvert muda wote kajifungia
 
Back
Top Bottom