grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Angalau wewe umejua hili ππππHaiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
nashukuru kwa kulitambua hilo, ni viburi sana'Introvertism' ni trend iliyoibuka hivi karibuni, millenials wengi wanadai wao ni introverts kama sifa au fashion if you will.
Hii ni trend tu kama ilivyokuwa trend ya kila mtu kuhusishwa na freemason, unga nk. However, trend ya kujinasibisha na Introvertism inakufanya uonekane somewhat cool.
Wengi wao sio introverts wala nini na wengine ni kiburi tu kama mleta uzi alivyodai.
Why is everyone suddenly an introvert?
Answer (1 of 4): Youβve noticed the popularity of the Myers Briggs Personality assessment then? Yes, it seems to be that a lot of people identify with the INFJ personality type. Considering that less than 3% of people have that personality type (according to Myers & Briggs) it seems that a lot o...www.quora.com
The Majority of People Are Not Introverts or Extroverts
Introverts and extroverts do exist, but they're exceptions and at a disadvantage.www.psychologytoday.com
mzee una demu?Tupo wazee wa indoors. Hahaha hapa nimejifungia peke angu nasikiliza hotuba ya Raisi wa Nchi.
Hatuna kiburi, sema tyu tunashindwa kuchangamana sana na hii dunia ya ma extroverts na watu wajuaji.
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
hutaki kelele [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wat Kama Hawa ndo huwa siwezi hata kuongea nao
Yaan mtu unakuta anaongea na mtu yko mita 40 hkoo anapwayuka hatar hua nawakwepa Sana ,
Au Kila mda anapiga simu huwa sipokei kabsa bora nmtext,
Au ujuaji mwingi huwa nawasikiliza tu ,
mzee kumbe na wewe introvert?Introverts tuache. Tuone tu tunabwabwaja humu mitandaoni lakini laivu ni shida. Na ukijaribu kutulazimisha kuongea au kuchangamana na watu utatusababishia msongo wa mawazo tu na matatizo mengine.
Huu uzi umenivunja mbavu kabla hata sijasoma Extrovert njoo hukuHaiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Hapana, ni yule mke wake mwenye majibu ya reja reja...[emoji38]Ni yule mke wako anaewapa watu namba na kukuambia hakuna mwengine zaidi yako? Mkuu atakuua uyo mwanamke
Dah Sasa anti umekuja kutuchanganya introvert, Extrovert,asstrovert kesho utaibuka na ....Tritrovert ...hii haikubaliki ...
Jamaa anapitia magumu sanaHapana, ni yule mke wake mwenye majibu ya reja reja...[emoji38]
Waambie mkuu,yaan mm hadi wapangaji wenzangu washaanza kuniwekea kikao,sina tabia ya kuchangamana ila pia hakuna kitu nakasirika kama mtu anaenigongea mlango whl nipo nawaza mambo yanguIntroverts tuache. Tuone tu tunabwabwaja humu mitandaoni lakini laivu ni shida. Na ukijaribu kutulazimisha kuongea au kuchangamana na watu utatusababishia msongo wa mawazo tu na matatizo mengine.
Haya sasa,,,kazi kwetu.Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Hakuna Maana Ya Maisha Kama Waandamu wangefanana Tabia, Haiwezekani watu wote kuingia Mbinguni, na Haiwezekani wote wakaingia MotoniHaiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hahahaa introvert muda wote kajifungiaWaa
Waambie mkuu,yaan mm hadi wapangaji wenzangu washaanza kuniwekea kikao,sina tabia ya kuchangamana ila pia hakuna kitu nakasirika kama mtu anaenigongea mlango whl nipo nawaza mambo yangu
Muache viburi bwana we.