Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mleta mada inaonekana sura yako imekaa kiwizi wizi mpka mtu anaogopa kuongea na wwHaiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
I like your navelThe problem is people are being hated when they are real
And are being loved when they are fake
Ndio maana hakuna binadamu mkamilifu.Watu huchukulia Kama sifa,lakini ni udhaifu fulani anao mhusika!
Hahaa wengine ni viburi kweli, ila mkuu kuna watu hawana karama ya kuongea sana hasa mbele za watu, ndio introverts hao aka antsocial yaan wenyewe wanaenjoy kampan zao hawapendi kuchangamana na watu
Sawa mkuuKuongea sana mbele za watu sio karama.
Introverts sio sawa na antisocial.
'Introvertism' ni trend iliyoibuka hivi karibuni, millenials wengi wanadai wao ni introverts kama sifa au fashion if you will.
Hii ni trend tu kama ilivyokuwa trend ya kila mtu kuhusishwa na freemason, unga nk. However, trend ya kujinasibisha na Introvertism inakufanya uonekane somewhat cool.
Wengi wao sio introverts wala nini na wengine ni kiburi tu kama mleta uzi alivyodai.
Why is everyone suddenly an introvert?
Answer (1 of 4): You’ve noticed the popularity of the Myers Briggs Personality assessment then? Yes, it seems to be that a lot of people identify with the INFJ personality type. Considering that less than 3% of people have that personality type (according to Myers & Briggs) it seems that a lot o...www.quora.com
The Majority of People Are Not Introverts or Extroverts
Introverts and extroverts do exist, but they're exceptions and at a disadvantage.www.psychologytoday.com
Mimi nafikiri hapa duniani kuna mambo ya muhimu sana ya kufanya zaidi ya kuangalia nani anachangamana na watu na nani hachangamani na ni kwasababu gani anachangamana au hachangamani. Wewe kama unataka kuchangamana changamana, ukiona mtu hataki kuchangamana na wewe achana nae endelea na maisha yako! Vinginevyo wewe ndio utakua una matatizo kama unalazimisha kila mtu awe kama wewe.
Najiona mimi.Wapo sana,tena hata kukutazama usoni wengine hukuangalia kwa kuvizia
Akili ndogo,hutaki hata kuumiza kichwa kidogo,umeishia kutoa conclusion kuwa ni ukiburi...Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi
Mazoea na watu sio mazuri
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]kuna watu wana viherehereMimi nafikiri kuna watu hua hawajiamini so mda wote wanatafuta approval ya society inayowazunguka. Sasa pale wanapokutana na wewe upo busy na mambo yako, ndio wanaanza kukuona unaringa, au sijui huchangamani.
Mfano mimi jana jioni nilikua nimekaa sehemu napata dinner huku nikifuatilia taarifa ya habari kwenye tv iliyokua kule mbele. Kama meza tatu kutoka nilipo kukawa kuna jamaa nae anaangalia hiyo hiyo habari. Sasa jamaa kila habari inayosomwa yeye anaanza kuniongelesha mimi kuhusiana na hiyo habari tena kwa kupayuka. "Aisee.... sasa hii itakuaje..? We unaona hili linawezekana? Hawa jamaa wanafanya ujinga kabisa..." Mara... "Aloo huyu mama kwakweli mi nimemkubali sana kwa hii hotuba... unajua kwenye hili swala la kukutana na upinzani......" Kidogo.... "Hawa Yanga wasipoangalia mi nakuhakikishia haki ya Mungu hata hiyo nafasi ya tatu wanaikosa...! Unajua hawa Yanga mechi walizobakiza......." "We unaona watachomoa pale..? Eeh? Hawachomoii.... tupinge!!"
Mimi kimyaa... nikawa naendelea kufuatilia habari kama simsikii vile.