Introversion ipo karne na karne labda hilo neno ndio jipya tu na pia hivi karibuni watu wamejifunza sana kuhusu introversion kiasi cha wengi wao kujikubali na kuwa comfortable tofauti na zamani ambapo iliaminika kwa wengi kuwa introvert ni tatizo na binadamu by nature ni extrovert.
Karibu moja ya tatu ya watu duniani ni introverts.
Kabisa mkuu yana wanajifanya kama special fulani hivi, watu introvert wa ukweli ata hawez kujisema, Sema mbaali na hayo huyu wangu mimi anajeuriDunia ya leo kila mtu ni hao introverts, extroverts hawapo kabisa.
Mara ya mwisho lini umesikia mtu anadai yeye ni extovert? Hawapo. Sasa it's more of a trend.
Kabisa mkuu yana wanajifanya kama special fulani hivi, watu introvert wa ukweli ata hawez kujisema, Sema mbaali na hayo huyu wangu mimi anajeuri
Oo pole kijanaNajiona mimi.
Tatizo lawama ziko pande zote, hata mtu msemaji sana kama Kiranga naye anaweza kushambuliwa kwa kiburi kwamba ni narcissist mjuaji wa kila kitu, anataka kuongea kila mara.Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi.
Sema kwenye yanga hapo hajadanganyaMimi nafikiri kuna watu hua hawajiamini so mda wote wanatafuta approval ya society inayowazunguka. Sasa pale wanapokutana na wewe upo busy na mambo yako, ndio wanaanza kukuona unaringa, au sijui huchangamani.
Mfano mimi jana jioni nilikua nimekaa sehemu napata dinner huku nikifuatilia taarifa ya habari kwenye tv iliyokua kule mbele. Kama meza tatu kutoka nilipo kukawa kuna jamaa nae anaangalia hiyo hiyo habari. Sasa jamaa kila habari inayosomwa yeye anaanza kuniongelesha mimi kuhusiana na hiyo habari tena kwa kupayuka. "Aisee.... sasa hii itakuaje..? We unaona hili linawezekana? Hawa jamaa wanafanya ujinga kabisa..." Mara... "Aloo huyu mama kwakweli mi nimemkubali sana kwa hii hotuba... unajua kwenye hili swala la kukutana na upinzani......" Kidogo.... "Hawa Yanga wasipoangalia mi nakuhakikishia haki ya Mungu hata hiyo nafasi ya tatu wanaikosa...! Unajua hawa Yanga mechi walizobakiza......." "We unaona watachomoa pale..? Eeh? Hawachomoii.... tupinge!!"
Mimi kimyaa... nikawa naendelea kufuatilia habari kama simsikii vile.
Sawa tutaacha!!Haiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi.
Wanajikutaga Sana Hawa watuwatuHaiingii akilini unakaa na mtu anajifanya haongei, akijibu swali maneno machache kanyamaza, unaongea na mtu mambo ya msingi haongei, hii ni jeuri na kiburi hakuna kitu kingine, msijifiche kwenye muamvuli wa sijui introvert na nini nini, muache kiburi.
Hahah mzee una roho mbayaKwenye kabisa
Wanajikuta sana wanajitenga kama nyama za mshkaki
Hawataki kampani ya watu sababu ya ubaguzi
Ukipata chance ya kuwapiga hawa watu wapige kweli kweli kwenye nyanja zote
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mleta mada inaonekana sura yako imekaa kiwizi wizi mpka mtu anaogopa kuongea na ww