Hakuna faida ya kumpeleka mtoto English Medium (mabasi ya njano)

Kayumba kuna changamoto nyingi sana hasa za kimaadili, kama mzazi kipato kinaruhusu ni bora mtoto umpeleke huko kwenye mabasi ya njano
Changamoto zipi hizo ?

Je, zinazizidi zile za mtoto kuwa nyoronyoro au choko ?
 
Uliposema huko Changamkeni kundi kubwa la watoto hupotea kimaadili ulikuwa umechanganyikiwa ?
Twende taratibu, punguza mihemuko:-


Hakuna sehemu nimesema watoto wa private hawawezi kuharibikiwa, ila ni wazi kuwa wanaoharibikiwa huko changamkeni ni WENGI (kundi kubwa) ukilinganisha wanaoharibika wakiwa huku private na sababu zake zipo wazi tu.

Kwahiyo sikuwa nimechanganyikiwa wakati naandika, pengine ulisoma bila kuzingatia neno kwa neno kutokana na sababu nisizoweza kuzijua.
 
Nimekuelewa sana kwa ujumbe wako mkuu.
 
Changamoto zipi hizo ?

Je, zinazizidi zile za mtoto kuwa nyoronyoro au choko ?
Watoto wa uswazi ndo wanachokoana sana, yaani wakitoka shule badala ya kurudi home wao wanaenda vichakani
 
Hahah unampeleka mtoto English medium akienda o level pia unampeleka private, advance private halafu anaenda chuo kimoja na coarse Moja na mtoto aliyesomea government akiisikia private tu
 
Nakazia
 
Ni vema kueshimu mawazo ya mtu ata km hujui anamaanisha nn au kusudio lake ni nn

Lakin pia weka sababu tujue nn ttzo
Lakin pia kuna utofauti kati ya private school na english medium jifunze kutofautisha
Sio kla private school ni English medium
Nifafanulie mkuu
 
Tukiwa maskini hebu tupunguze chuki jamani hakuna anaependa mwanae asome shule ambayo mvua zikinyesha mtoto hana uhakika wa kufika shule, madarasa mabovu idadi kubwa ya watoto kwenye darasa moja. Mtu anaamua ajipinde apate kusomesha mtoto shule nzuri sio kwaajili ya ajira ila kwaajili ya maiaha yake. Huu umaskini ndio unatufanya tujifariji kwamba swahili medium nako ni sawa ila sio sawa kuna madudu mengi
 
We peleka wako kidumu na mfagio,amalize la7 hajui kusoma,kuandika Wala kuhesabu
Afu umnunulie boda aanze kujiajiri🤣
Kwani wanaolilia ajira ni walisoma changamkeni tu ? Huna akili jifunze
 


Sasa hizo shule ambazo sio ‘English medium’ zenye kutoa utayari wa maisha kwa mtoto ndio hizi za huku mtaani kwetu zenye kuitwa Shule za kata?

Shule zenye walimu 10 na wanafunzi 1500?

Maybe kwanza tuzungumze utayari wa aina gani na kwenye maisha yapi.
 
wewe dili na watoto wako, sisi tutadili na watoto wako. usiwasemee watoto wetu.
 
Hapa hakuna hoja

Mleta uzi yeye nadhani ni vita ya life class ndio ninayoiona!

Which has got nothing to do with elimu kabisa!

Tangu lini the underfunded government schools zikawa bora zaidi ya UK,US or any foreign based curriculum full funded private schools?

Si ni bangi hizi!

Huna hela kaa kimya,peleka watoto wako serikali ikusomeshe bure watoke 40% wanamaliza ila hawajui kusoma,wenye hela wapeleke watoto wao pale mfuko wao unaporuhusu!

Mimi nilisoma government schools,aisee I will never bring my kids to such nonsense kabisa!

Niliponea kufaulu sababu to biologically nina akili zaidi ya wenzangu which is a biological lottery

Wenzangu wote since primary school nearly 40% walifeli,na tuliofaulu still mpaka leo hatujui sawa sawa hata kujieleza kwa English au Kiswahili reports au presentations!

System ya Elimu anayotoa maamuzi mwanasiasa kichaa kwanza aliefeligi alipokua shule.

Just imagine Musukuma ndio mawazo yake yeye akiongea anatoa maamuzi watoto wetu wasome nini na mtaala upi ufuatwe kwa sheria anazotunga yeye....

Musukuma have no mental power to decide hatima ya maisha ya wanangu kabisa!
 
🤣Cha kuombea maji
 
Achana na hixo shule tafuta pesaa....ukishindwa peleka kayumba.....watu wametofaitisna.....vipato....nakazia nenda kaweke pesa
 


Harakati za maisha ndio msingi wa uhai lakini harakati bila mpangilio sio Nzuri hata kwa afya yako ya akili.

Watoto hawakuchagua kujileta duniani, Kama bado hawafit kwenye ratiba zetu na harakati za maisha tusiwalete kwanza, tujiandae kwa ajili yao.
 
Sema huna hela... mwanamke ni mwamke ila kuna pisi kali pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…