BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Maendeleo ya jimbo yanaanza na mtu binafsi.Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6. Kiwango cha chini cha umasikiji wa vipato.
7. Miundombinu bora.
Haya ndio maendeleo, na sio kusambaziwa magari Magari ya kubeba maiti , Mifuko ya Saruji na mabati na kujengewa makaravati kwa pesa ya mbunge.
Haya yanahitaji sera za Kitaifa na sio za Mbunge mmoja mmoja, jimboni kwake, wajinga tuna hadaiwa sana aieee naumia kuona sisi wajinga tunavyo hadaiwa.
Mbunge anaahidi vitu ambavyo sio vya kijimbo na tunashangilia.
Tutadanganywa na hawa wagombea ubunge hadi siku tunaingia kabulini na hapo ndio itakuwa mwisho wa kudanganywa.
Tunadanganywa sana kwamba kuna Mbunge analeta maendeleo jimboni ilihali hivyo vitu vinahitaji serza za kitaifa, Mbunge anaweza vipi fanya kikawa na mazingira bora ya Kodi jimboni kwake pekee?Ni kweli
Unazungumzia maendeleo yapi? ndio mnavyo danganywa? nitajie hilo Jimbo basi au halina jina?Maendeleo ya jimbo yanaanza na mtu binafsi.
Jimbo lenu halina ushirikiano kati ya wananchi wao kwa wao.
Hakuna hata group la whatsapp la wananchi mahali mnapoweza kujadiliana namna ya kuinua hali za wananchi.
Akili za kuilaumu serikalini zinazeeka na kupitwa na wakati kwa kasi ya SGR.
Serikali huleta yale ya msingi pekee, tuna safari ndefu ya kuyafikia maendeleo kwa mujibu wa akili zetu za kisasa.
Mchango wa maendeleo ya kweli huanza na kuamka kwa mtu mmoja mmoja huko tunapotokea.
Bado uko zama za giza sana, Mungu akusaidieMaendeleo ya jimbo yanaanza na mtu binafsi.
Jimbo lenu halina ushirikiano kati ya wananchi wao kwa wao.
Hakuna hata group la whatsapp la wananchi mahali mnapoweza kujadiliana namna ya kuinua hali za wananchi.
Akili za kuilaumu serikalini zinazeeka na kupitwa na wakati kwa kasi ya SGR.
Serikali huleta yale ya msingi pekee, tuna safari ndefu ya kuyafikia maendeleo kwa mujibu wa akili zetu za kisasa.
Mchango wa maendeleo ya kweli huanza na kuamka kwa mtu mmoja mmoja huko tunapotokea.
Matajiri ni Wabunge, mawaziri na viongozi wa serikali tu.Nionyeshe Jimbo hata moja lenye maendeleo maana yake kuwa na maendeleo lina sera mbalimbali bora kabisa hapo jimboni.
1. Huduma bora za afya
2. Sera nzuri ya ajira, hakuna tati la ajira.
3. Sera nzuri za kufanya biashara.
4. Elimu bora na yenye viwango.
5. Sera nzuri za hifadhi ya jamii.
6. Kiwango cha chini cha umasikiji wa vipato.
7. Miundombinu bora.
Haya ndio maendeleo, na sio kusambaziwa magari Magari ya kubeba maiti , Mifuko ya Saruji na mabati na kujengewa makaravati kwa pesa ya mbunge.
Haya yanahitaji sera za Kitaifa na sio za Mbunge mmoja mmoja, jimboni kwake, wajinga tuna hadaiwa sana aieee naumia kuona sisi wajinga tunavyo hadaiwa.
Mbunge anaahidi vitu ambavyo sio vya kijimbo na tunashangilia.
Tutadanganywa na hawa wagombea ubunge hadi siku tunaingia kabulini na hapo ndio itakuwa mwisho wa kudanganywa.
Hata bila kuiweka vizuri hapo umemaliza kakaUmeongea point Sana .
Sera ya mfumo wa majimbo imekaa vizuri Sana .
Mfano tukisema mapato yanayopatika DSM yarudishwe DSM ili kuhudumia DSM maana yake tutakuwa na barabara nzuri , huduma za Afya n.k
Najaribu kuiweka comment yangu vizuri
Baadhi ya hayo uliyoyataja hata kitaifa bado ni tatizo.Unazungumzia maendeleo yapi? ndio mnavyo danganywa? nitajie hilo Jimbo basi au halina jina?
Sera ya majimbo kwa jicho la jumla inaonekana ni nzuri lakini imejaa mikwamo yake mingi tu. Inaweza kulivunja taifa. Kumbuka binadamu kaumbwa na ubinafsi mwingi.Bado uko zama za giza sana, Mungu akusaidie
Italivunja vipi Taifa.Sera ya majimbo kwa jicho la jumla inaonekana ni nzuri lakini imejaa mikwamo yake mingi tu. Inaweza kulivunja taifa. Kumbuka binadamu kaumbwa na ubinafsi mwingi.
Ndo tunahitaji kuondoa hilo tatizo mfano mkuranga kuna viwanda Sana Ila kodi inayokusanywa mkuranga inaenda kutumika nje ya mkurunga maana yake hatuwezi kupiga hatua.Baadhi ya hayo uliyoyataja hata kitaifa bado ni tatizo.
Nenda mkoa wa Pwani umejaa viwanda kila wilaya halafu tazama ni kwa kiwango gani utatuzi wa shida zao unavyofanyiwa kazi.
Kabisa .Umeongea point Sana .
Sera ya mfumo wa majimbo imekaa vizuri Sana .
Mfano tukisema mapato yanayopatika DSM yarudishwe DSM ili kuhudumia DSM maana yake tutakuwa na barabara nzuri , huduma za Afya n.k
Najaribu kuiweka comment yangu vizuri
Utalii unaongoza kwa kuleta mapato mpaka muda huu, huwezi kusikia pesa ya utalii inatajirisha mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pekee.Ndo tunahitaji kuondoa hilo tatizo mfano mkuranga kuna viwanda Sana Ila kodi inayokusanywa mkuranga inaenda kutumika nje ya mkurunga maana yake hatuwezi kupiga hatua.
Umoja wa kitaifa unaifanya Tanzania kuwa hivi ilivyo, ukianza kutafuta wenyeji wawe viongozi wa maeneo husika unajenga ubaguzi na chuki. Ni rahisi kuivunja nchi ikiwa kila mtu anajitambulisha kwa eneo alilozaliwa.Kabisa .
Fikiria mtu anatoka nzega huko anaenda kuwa DED halmashauri ya bumbuli.
Kwann watu wa Bumbuli wasitoe DED wao mwenye kujua kinachotakiwa na kuhitajika huko??
Sera ya majimbo itavunja nchi kwa maana ya baadhi ya maeneo kutojaliwa na Mungu. Utaivunja nchi mapema sana.Italivunja vipi Taifa.
Mfano mapato yanayopatikana Geita ukiwa unayurudisha Geita pale pale kwa 80% ili yafanye maendeleo maana yake Geita itapaa Sana .
Sera ya majimbo itaongezeka uwajibikaji na kuondoa ukiritimba kimaendeleo
Mbona marekani IPO sawa je Unaona ni sahihi kuchukua mapato ya Kahama na shinyanga kutoka katika madini Ila wananchi wanabaki wanakunywa Maji ya na mifugo?Sera ya majimbo itavunja nchi kwa maana ya baadhi ya maeneo kutojaliwa na Mungu. Utaivunja nchi mapema sana.
Kinachojificha nyuma ya ukanda ni ubaguzi na roho ya choyo inayoibuka kwa baadhi kudhani wanawabeba wengine.
Unity is everything mkuu.