Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Mtanikumbuka....na bado!
Mie sitamkumbuka best..thou alinifanya nikaacha kufanya mishe kwa mazoea...nikawa na discpline...Mama anatutoa kanaan...kuna nafasi nyingu sana za upendeleo wizara fulani...uwiiii....uwiiii...tusife tu
 
Bora ifute hizo data wote tuish Kama mashetani ..
Mimi nilikua na shilingi 14 tu ..
Umetuma TSh 100,000 kwenda kwa 255717575877 - BAHATI MOHAMED. Ada TSh 1,000. VAT TSh 153. Kumbukumbu no.: 23011904602. 05/04/21 19:04. Salio lako jipya ni TSh 80. Asante kwa kutumia TigoPesa.

Bora mimi nna 80🤣
 
Hata kama chanzo ni Soko la dunia, Anae regulate kupanda/kushuka kwa Tzs Vs Dollar ni nani ?
 
Umetuma TSh 100,000 kwenda kwa 255717575877 - BAHATI MOHAMED. Ada TSh 1,000. VAT TSh 153. Kumbukumbu no.: 23011904602. 05/04/21 19:04. Salio lako jipya ni TSh 80. Asante kwa kutumia TigoPesa.

Bora mimi nna 80🤣
I hope hiyo namba ni

fictitious work​

Back
Top Bottom