Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Wese lishagonga 2100/- baada ya muda mrefu ndio limetoboa above 2000/- sasa subirini $ itagonga 3000/- kabla ya mwaka kuisha.
Mafuta bei inatokana na soko la dunia
 
Mkuu HAKUNA Raisi atakae kuja kukumbukwa kama MAGUFULI. Trust Me
brother
Sasa hata akikumbukwa vp bado haiwezi fufua uzima wake na kuja kuongoza tena labda mbinguni kama kuna vyama vya siasa utampigia kura akuongoze tena
 
Nasikia zilizo futwa ni za mikopo ya tigo pesa ( tigo nivushe)[emoji1]
Tetesi nyingine kuwa computer imefuta kumbukumbu zote za account za tigo pesa za wateja, zote zinasoma ZERO. Kulikuwa hakuna Backup. 😎
 
Huu mtandao nimeapa kutoutumia daima....sababu ni jina lake tu. Tigo ni jina baya sana....ila pole watumiaji wa Tigo.
 
tena wepesi sana kwa kukata mikopo yao hata kama wapo kwenye marekebisho
 
Bora ifute hizo data wote tuish Kama mashetani ..
Mimi nilikua na shilingi 14 tu ..
Maoni yako ni kama wale wanyonge wanaozungumziwaga na Jiwe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom