Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Na hasara tuliyo pata wananchi inakuaje?
Bado hujapokea ujumbe wa kuombwa radhi?
IMG-20210407-WA0066.jpg
 
Umetuma TSh 100,000 kwenda kwa 255717575877 - BAHATI MOHAMED. Ada TSh 1,000. VAT TSh 153. Kumbukumbu no.: 23011904602. 05/04/21 19:04. Salio lako jipya ni TSh 80. Asante kwa kutumia TigoPesa.

Bora mimi nna 80🤣
Duh Kam namba ni ya kweli, aisee ushajulikana. Maana akipatikana huyo then ushapatikana inabidi uwe mpole kweli humu.
 
Duh Kam namba ni ya kweli, aisee ushajulikana. Maana akipatikana huyo then ushapatikana inabidi uwe mpole kweli humu.
Mie nilikua namuonesha salio...ah mteja wangu huyu..kwan nimefanyaje mkuu had tuanze kutishana namna hiyo
 
Isije ikawa kuna mtu kashakwapua mpunga Tigopesa na kuizingua system. Sio kawaida kwa system ya pesa kuwa down more than 24 Hrs lazima kuna msala mzito
point [emoji362]
 
Back
Top Bottom