Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Tigo HQ wako na Digits tuu Kwenye macomputer yao, Fedha ziko mitaani kwa mawakala wao
Hizo hizo digits zinawekwa kwa wateja/mawakala then wanaenda kutoa cash. Mzee uko dunia gani?
 
Umetuma TSh 100,000 kwenda kwa 255717575877 - BAHATI MOHAMED. Ada TSh 1,000. VAT TSh 153. Kumbukumbu no.: 23011904602. 05/04/21 19:04. Salio lako jipya ni TSh 80. Asante kwa kutumia TigoPesa.

Bora mimi nna 80🤣
Duh Kam namba ni ya kweli, aisee ushajulikana. Maana akipatikana huyo then ushapatikana inabidi uwe mpole kweli humu.
 
Duh Kam namba ni ya kweli, aisee ushajulikana. Maana akipatikana huyo then ushapatikana inabidi uwe mpole kweli humu.
Mie nilikua namuonesha salio...ah mteja wangu huyu..kwan nimefanyaje mkuu had tuanze kutishana namna hiyo
 
Isije ikawa kuna mtu kashakwapua mpunga Tigopesa na kuizingua system. Sio kawaida kwa system ya pesa kuwa down more than 24 Hrs lazima kuna msala mzito
point [emoji362]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…