WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 953
wewe ni Keyboard worrier........ ,jamaa kasema ukweli mchunguEndelea kuzalisha vizazi maskin kwa style hii ya Ccm ….uoga ndo akili yako.
Sio kwamba watu wanachukia ccm Bali Watu wanataka Ile freedom ya kuweka Leo chadema, kesho ACT, kesho kutwa ccm, hii italeta hamasa Kwa chama kinachokuwa madarakan kufanya kweli ili kibaki ktk Dora, kuliko kuwa na chama kimoja ambacho hata kikiaribu wanajua kesho watarudi hii ndio haifai.hayamaanishi ccm wakitoka ndo maisha yamefika paradiso, mapungufu yapo lakini ya kimaisha, wakina trump wanachapwa mpaka sniper tunaelewa tu
Ahsante Kwa kunielewaAma kiumane wafe wengi ili ukombozi upatikane au watu wote watulie ili umasikini na unyonyaji uendelee.
Kuwa vuguvugu ndo anapotea mmoja mmoja, mwisho wa siku wanapotea wote halafu hamna kilichofanyika zaidi ya kuacha familia ikikulilia.
Mtoa mada nakuelewa sawa.
Kuna watu wanategemewa na wanatokea familia masikini; hufanya kuwaiga wengine kushupaza shingo na kujifanya hero, kumbe walioigwa wanafanya vile kimkakati na kimaelekezo ya kisiasa. Mwisho wa siku muigaji anapotea kwa kukosa msaada.
Kama huna wa kukupigania ni heri ukabaki tu.
Dora ni niniSio kwamba watu wanachukia ccm Bali Watu wanataka Ile freedom ya kuweka Leo chadema, kesho ACT, kesho kutwa ccm, hii italeta hamasa Kwa chama kinachokuwa madarakan kufanya kweli ili kibaki ktk Dora, kuliko kuwa na chama kimoja ambacho hata kikiaribu wanajua kesho watarudi hii ndio haifai.
Siasa ndio inaongoza kila kitu. Kujitenga na siasa ni sawa na kuwa mtumwa kwenye nchi yako. Siasa inaajiri, inajenga shule, hospital,barabara, inaleta maji na umeme, siasa inasimamia bei ya mazao. Mtu mjinga tena mjinga sana ambaye anaweza kujitenga na siasa.Salaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Hakuna dhahabu bila kupita kwenye moto.Ahsante Kwa kunielewa
Lissu yupo mahabusu,lakini nina uhakika familia yake iko vizuri
Mbowe aliwahi kukaa mahabusu,
Nina Imani familia yake haikutetereka
Gwajima kajificha lakini I hope family itakuwa sawa tu.
Swala lipo kwa wenzangu na Mimi ambao kukaa mahabusu halafu ukaambiwa dhamana ni laki tano unaweza fia hukohuko
dah unafundisha watu uoga na umaskini pole sanaSalaam jamiiAfrica.
Unataka kuwa huru?
Unataka kuwa na Amani?
Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako?
Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01?
Jitenge na siasa,kaa mbali na wanasiasa.
Acha kuiongelea siasa.
Kaa kimya fanya mambo yako ,usifanye vitu Kwa kutafuta sifa,
Wewe siyo
Nelson Mandela,
Kwame Nkrumah,
John Okello,
Che Guevara,
Wewe ni mtoto wa masikini, wazazi wako wanakutegemea,na wanahitaji msaada wako pengine.
Kama familia yako hata ikiungana haina uwezo wa kuchanga pesa inafika milioni 5, bro/sister achana na siasa.
Ni rahisi watu kukusifia na kukuona Shujaa lakini ni ngumu wao kujitokeza wakawa na misimamo kama yako,
Ni rahisi mno watu kukupigia makofi na kukupa michango ya bukubuku na kukutanguliza front huku wakikuita mwamba , Shujaa,mwanaharakati na majina mengi ya kinafiki ,na wewe ulivyo na kichwa maji unajiona Samora Machel.
Wakuu pambaneni na maisha,
Sote tunajua,vitu na miundimbinu mingi ni dhaifu,bidhaa na materials bei ghali,Ajira hazitoshi pamoja na mengi lakini tunakaa kimya Kwa hatima ya vizazi vyetu.
Asalaam Aleykum jamiiy'aa
Mwanasiasa yupo kwaajili ya maslahi yake binafsi na ya familia yake.Ahsante Kwa kunielewa
Lissu yupo mahabusu,lakini nina uhakika familia yake iko vizuri
Mbowe aliwahi kukaa mahabusu,
Nina Imani familia yake haikutetereka
Gwajima kajificha lakini I hope family itakuwa sawa tu.
Swala lipo kwa wenzangu na Mimi ambao kukaa mahabusu halafu ukaambiwa dhamana ni laki tano unaweza fia hukohuko
Famasihara nini, kuhasiwa na kupigwa TREES unafikiri mchezoTunaomba wewe jasho lako na damu yako na muda wako vipotee kwa niaba yetu.
Nonsensehayamaanishi ccm wakitoka ndo maisha yamefika paradiso, mapungufu yapo lakini ya kimaisha, wakina trump wanachapwa mpaka sniper tunaelewa tu
nahisi utakuwa na tatizo la mvurugano wa ubongo na mavi, wahi ukamwone doctor.Nyinyi ndiyo mnaowaponza watu wanajukuta matatizoni huku nyie mkiperuzi mitandaoni wapumbavu sana