Biashara yao hufanywa kwa mtindo huo.Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Mkuu ni business model hiyo tena nzuri.Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Gharama zao atagharamia Mungu,au wafanye kama wametoa sadaka tu,Gharama za uendeshaji wa mkutano huo kama watu hawatalipia kwa njia ya sadaka, nani atagharamia?
Mbona hawasemi hilo? Sadaka si ni pesa au??kingilio ni sadaka yako tu
just imagine
Punguza wivu wanaotoa hizo pesa hawajaja kukuombaUtawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Huu ni utapeli. Serikali yetu tukufu itupie macho. Tunajenga taifa la mataahiraBiashara yao hufanywa kwa mtindo huo.
Kama hawawezi kugharimia waache. Wana faida yao humo acha kuwatetea. Mtume Paulo alikuwa anatangaza dini kwa pesa alizopata kwa kukodisha mahema yake si kwa kutegemea sadaka. Pale watu walipompa support aliitumia kwa kazi. Hawa wa leo ni matapeli tu usiwatetee.Gharama za uendeshaji wa mkutano huo kama watu hawatalipia kwa njia ya sadaka, nani atagharamia?
tafuta sadaka nenda kaombeweHuu ni utapeli. Serikali yetu tukufu itupie macho. Tunajenga taifa la mataahira
wananchi wanalazimishwa kutoa hizo sadaka mkuuKama hawawezi kugharimia waache. Wana faida yao humo acha kuwatetea. Mtume Paulo alikuwa anatangaza dini kwa pesa alizopata kwa kukodisha mahema yake si kwa kutegemea sadaka. Pale watu walipompa support aliitumia kwa kazi. Hawa wa leo ni matapeli tu usiwatetee.
Huu upuuzi uishe. Tunaangamiza taifaPunguza wivu wanaotoa hizo pesa hawajaja kukuomba
Asante for your thoughts . Ila katika imani za dini jambo hilo haliruhusiwi. Imani siyo bidhaa ya kuuza!Mkuu ni business model hiyo tena nzuri.
Business model nzuri ni ile ya kuwafanya watu waamini bidhaa ni bure kutumia kumbe in reality wanalipia.
Kama facebook, youtube, google models
Tapeli hawezi kumdhibiti TAPELI MWENZIE.Huu ni utapeli. Serikali yetu tukufu itupie macho. Tunajenga taifa la mataahira
Sasa hivi ni biashara ndiyo maana inahubiriwa kutoa sadaka. Yani si lutheran, si roman wala sijui agt kote wanahubiri sadaka tu na vitisho vya kutotoa sadaka kila siku.Asante for your thoughts . Ila katika imani za dini jambo hilo haliruhusiwi. Imani siyo bidhaa ya kuuza!
Wanatishwa na vifungu vya maandiko ya biblia ambavyo aghalabu they are translalated out of context or they have have nothing to do with our modern society. Mtu anajiita mkristo muulize akutajie hata vitabu kumi tu vilivyo kwenye Biblia hawezi. Anaenda huko makanisani anasomewa mistari halafu mhubiri anaikunjakunja ili akukamate utoe hela.wananchi wanalazimishwa kutoa hizo sadaka mkuu