- Thread starter
- #61
Umenena vema. Kazi ipo kuwaelimisha raia na kuitaka serikali ikomeshe huu utapeli. Ni aibu mno hata mataifa mengine yanapoangalia ujinga huu unaoendelea kwetu. Tunakuwa ni watu tusiojitambua.Yap ndio maana nasema, haya makanisa ya Sasa na watumishi wa Sasa wanatumia Hilo gepu vibaya......
Infact mtumishi wa Mungu anatakiwa asiwe na kazi au biashara ingine kama wito wake ni kuhubiri neno la Mungu maana huwezi kuwatumikia mabwana wawili. Mungu na pesa...
Lakini Hawa wa kisasa Wana Hadi mabodigadi, ndege, misururu ya magari na majumba kibao.... Useless kabisa