Serikali hizi zisizotimiza wajibu wao kwa wananchi, kwa maana ya kuweka mazingira bora ya huduma za kijamii..na zinazoingia madarakani kwa wizi wa kura usitarajie zikawashughulikia hao matapeli, maana lao ni moja..ndio maana unawaona ma RC kwenye hayo makongamanoNdio maana naiomba serikali yetu ilitupie jicho suala hili. Ni utapeli umekuwapo miaka mingi bila kushughulikiwa. Taifa linafanywa la mazezeta. Ni aibu.
Serikali ikalitazame hili kwenye makanisa uchwaraSidhani
Mahubiri ya miujiza, mafanikio ni kuhubiri wizi
Ni Kwa sababu wewe unasubiri ifike wakati wa kutoa ili uje upige Umbea hapa...!Kwa nini basi mafundisho yao yamejikita kwenye kutoa tu. Hawafundishi hata elimu ya biblia na hostoria ya ukristo ni KUTOA KUTOA KUTOA basi!!
kama wanaweza wafanye ruksa bado wajinga ni wengi sanaHuo ni utapeli. Neno kila mtu anaweza kutoa. Hao ni motivational speakers kwenye kichaka cha dini. Hakuna mtume wala nabii hapo upuuzi mtupu
Wanawatumia kupata kuraNa mamlaka zinawaangalia tu. Huwa najiuliza au wanawaogopa? Sielewi kwa kweli. Basi tuseme tu kutapeli kwa jina la dini RUKSA ili tujue moja.
Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Mie huwa sisali mkuu, ukiamua kwenda kanisani sadaka ni sehemu ya Ibadan, sasa unakwenda kufanya nini kama kwenye hela zinauma kutoa ila mengine unayafuata kanisani, hivyo vipaza sauti na viyoyozi vinavyotumika unadhani hela yake inatoka wapi. Mie sio mdini kihivyo ila nimeeleza kwa yale makanisa yanayosimama kama taasisi na sio haya yanayochipuka kama uyoga ya mitume ambapo mke na mume wote ni wachungaji na akaunti za bank zinasoma majina Yao.Kama unataka kufuata maandiko peleka fungu la kumi Yerusalemu hekaluni. Kinyume na hapo umejitungia mafundisho yako mwenyewe kwamba kanisa ndio mbadala wa hekalu ambapo Mungu aliagiza sadaka zipelekwe. Wayahudi wenyewe waliopewa hilo agizo hawakupeleka fungu la kumi wala sadaka hata kwenye sinagogi ambayo wanatheolojia uchwara wanalifananisha na makanisa ya leo. Upumbavu tu na umbumbumbu wa kutokuijua imani ya kikristo na misingi yake. Wakimbieni matapeli.
Kuna dogo anaitwa IPM alianza kimasiala,sasaivi ana mawe dogoUtawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Msenge wewe, kwenye matamasha ya miziki viingilio watu wanatoa na huo tuite ni utapeli amaUtawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Makanisa yaliyokaa kitaasisi wala sina shida nayo japo mengi yana mapungufu ya Kitheolojia. Kule pesa inafanyiwa accounting siyo kutoa namba za kutuma pesa na jina ni la mhubiri na mke wake🤣Mie huwa sisali mkuu, ukiamua kwenda kanisani sadaka ni sehemu ya Ibadan, sasa unakwenda kufanya nini kama kwenye hela zinauma kutoa ila mengine unayafuata kanisani, hivyo vipaza sauti na viyoyozi vinavyotumika unadhani hela yake inatoka wapi. Mie sio mdini kihivyo ila nimeeleza kwa yale makanisa yanayosimama kama taasisi na sio haya yanayochipuka kama uyoga ya mitume ambapo mke na mume wote ni wachungaji na akaunti za bank zinasoma majina Yao.
Kupindisha maandiko ili kujinufaisha binafsi ndiyo kufundisha elimu ya biblia au ni kuwapumbaza watu??Ni Kwa sababu wewe unasubiri ifike wakati wa kutoa ili uje upige Umbea hapa...!
Aliyekwambia Mwamposa hafundishi Elimu ya Biblia ama Ukristo ni nani..!?
Acheni Unafiki...! Kama huamini endelea na kutoamini kwako, lakini sio kuongea Uongo...!
Unadhani wale Watu woote walijaa juzi pale zaidi ya 5,000 ni Mazuzu na wewe peke Yako ndo una Akili...!?
Kwa Hiyo kwa miaka yote Ibada zote mafundisho Huwa ni Sadaka tu....!?Kupindisha maandiko ili kujinufaisha binafsi ndiyo kufundisha elimu ya biblia au ni kuwapumbaza watu??
Tupo pamoja mkuuMakanisa yaliyokaa kitaasisi wala sina shida nayo japo mengi yana mapungufu ya Kitheolojia. Kule pesa inafanyiwa accounting siyo kutoa namba za kutuma pesa na jina ni la mhubiri na mke wake🤣
Wewe huna uzalendo kwa taifa letu na unaona ni sawa tu kuacha wengine wakiangamia kisa ati sikutoa pesa zangu. Hiyo ni roho ya uharibifu wala si ukristo.Kwa Hiyo kwa miaka yote Ibada zote mafundisho Huwa ni Sadaka tu....!?
Kutoa ni hiyari, Kuna kupokea kwenye kutoa....!
Kama wewe huamini endelea na mambo Yako.
Coz hata yanayowakuta wale wanaoenda Kwa Mwamposa huyajui, wanatoa Sadaka Kwa Imani Yao, huchangii hata 10, ila Maumivu unakuja kuyapata wewe.
Sadaka zenyewe unapigia kelele hapa ni hizi Coins za mia 5 mia 5....!?Wewe huna uzalendo kwa taifa letu na unaona ni sawa tu kuacha wengine wakiangamia kisa ati sikutoa pesa zangu. Hiyo ni roho ya uharibifu wala si ukristo.
Kwa hiyo tusitoe sadaka au tusiende kabisa makanisani?Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume wake. Hivi taifa langu Tanzania nani amewaloga kuingia kwenye ujinga wa wa kuwaamini hawa matapeli? Tuwafundishe kiasi gani mpate kuelewa???
Facebook, Google na YouTube unawalipa au unatumia bure?Mkuu ni business model hiyo tena nzuri.
Business model nzuri ni ile ya kuwafanya watu waamini bidhaa ni bure kutumia kumbe in reality wanalipia.
Kama facebook, youtube, google models
Wanaombewa wafanikiwe kupitia kazi zao, mchungaji naye atafanikiwa kupitia kazi yake ya uchungaji.Gharama zao atagharamia Mungu,au wafanye kama wametoa sadaka tu,
Wao si wanawaombea waumini wao kwa Mungu ili wafanikiwe? kwanini hao wachungaji nao wasisubiri kufanikiwa kupitia Mungu huyo huyo badala ya kuwakamua waumini ambao wengi wao ni masikini?