Hakuna kijana anakataa kazi yenye maslahi tatizo mabrother mnataka tuwasindikize kwenye utajiri

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha.

Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo unaompa faida hata ya milioni lakini akakupatia elfu kumi kama malipo yako at the same time anataka uwe loyal kwake point yao ya kujitetea ni kufundisha kazi.

Wakikimbiwa wanaanza kulalamika oh dogo nimefundisha kazi saa hivi analeta dharau hakuna brother sio dharau ni masilahi.

Kijana huyo naye anataka mtoto wake akasome English medium kama unavyopeleka wa kwako.

Mabrother kwenye sekta binafsi punguzeni ubinafsi lipeni watu wanachostahili sio unachojisikia.
 
muhimu ni kujituma, na kua na bidii katika kazi. Uaminifu na nidhamu yako katika kazi vinaweza kukusaidia kupata maslahi au kazi mbadala nzuri na yenye maslahi makubwa zaidi.
Fanya kazi vizuri na ishi na watu vizuri mahali pa kazi 🐒
 
1. Kama huna uzoefu na KAZI ma huna elimu ya kazi husika. Wewe ndiye unatakiwa ulipie umpe huyo Bro.

2. Kama unaelimu na ujuzi wa Jambo husika anatakiwa akupe kiwango kinacholingana na ujuzi na kazi utakayoifanya.

3. Mtu hawezi kukufundisha kazi humlipi, alafu utegemee akupe mshahara mnono
 
Wakati tunasoma History O-Level tulikuwa tunafundishwa kuhusu "Cheap Labour" hii fact vijana hawakutoka nayo shuleni kuja nayo uraiani.
Tajiri lazima atumie nguvu na ujuzi wako kutengeneza faida. Wewe haupo kwake kusaidiwa, upo kuzalisha. Ndio maana kuna kampuni zinatoa "Bonuses" wakipata faida kupitika kazi yako, unapewa bonus kwa mwezi mara mbili ya mshahara wako. Tafsiri yake ni kwamba kazi yako/ujuzi wako lazima ulete faida, na kiasi kidogo sana cha faida hiyo kitumike kukulipa. 😁
Huu ni ukweli mchungu sana.
 
Nina bosi wangu amenilipa mshahara baada ya wiki 2 nikamuomba aniazime laki 2 tutakatana kwenye mshahara eti ananambia inamaana hela yote ile umeshamaliza kama unaona kuweka pesa huwezi afadhari niwe nakuwekea😇🤣🤣🤣🤣aisee nimecheka kwa herufi kubwa Hivi mabosi huwa wanatuchukuliaje??
 
Jifunze nidham ya pesa,ni jambo kubwa sana
Nilimuona Hussein pamba Kali akishindia uji Ili kulinda mtaji
Nimewaona wachaga wenye maduka ya nguo wakishindia papai
Nilipokua chuo nililipiwa ada na mzazi na hela ya kujikimu,boom nilinunulia jinzi Kali, computer na subwoofer badala ya walau kufungua salon
Nikipitia rhumba sana baada ya kumaliza chuo
Kuwa na nidham ya pesa, watoto wengi wa 90s hawana,wanategemea siku moja zitakuja nyingi wafanye cha maana
 
Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha.

Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo unaompa faida hata ya milioni lakini akakupatia elfu kumi kama malipo yako at the same time anataka uwe loyal kwake point yao ya kujitetea ni kufundisha kazi.

Wakikimbiwa wanaanza kulalamika oh dogo nimefundisha kazi saa hivi analeta dharau hakuna brother sio dharau ni masilahi.

Kijana huyo naye anataka mtoto wake akasome English medium kama unavyopeleka wa kwako.

Mabrother kwenye sekta binafsi punguzeni ubinafsi lipeni watu wanachostahili sio unachojisikia.
Huyo dogo wa Mr Toyota akili hana,kaelezwa kila kitu,kapewa nauli ya Dodoma,kafika, kafanya kazi siku moja kaondoka
Kuna siku mtaani dogo mmoja alitaka nimfundishe kazi yangu,nikaenda nae,toka asubuhi tukarudi saa Saba usiku,kesho nampigia twende,anasema haendi
 
Back
Top Bottom