Hakuna kijana anakataa kazi yenye maslahi tatizo mabrother mnataka tuwasindikize kwenye utajiri

Hakuna kijana anakataa kazi yenye maslahi tatizo mabrother mnataka tuwasindikize kwenye utajiri

Huyo dogo wa Mr Toyota akili hana,kaelezwa kila kitu,kapewa nauli ya Dodoma,kafika, kafanya kazi siku moja kaondoka
Kuna siku mtaani dogo mmoja alitaka nimfundishe kazi yangu,nikaenda nae,toka asubuhi tukarudi saa Saba usiku,kesho nampigia twende,anasema haendi
Inawezekana kapata mchongo zaidi ya huo tatizo mnachukulia vijana simple mtu anakuja kwako ila Kuna mitego yake anasikilizia na bahati mbaya akija kwako akikuta akueleweki na treatment mbaya lazima atoke nduki
 
Hakueleweki, treatment mbaya kwa siku moja tu?..nyi madogo uvumilivu hamna,hata kushinda njaa siku moja kwenu ngumu,mnataka buubaa,kazi laini..yaani huo mchongo uliotiki haukua na muelekeo ndani ya saa 24 kiasi akatoka dar-dom badala ya kumwambia Mr Toyota ntakuja mtondogoo mafua yamenibana kidogo
Kazini kuna masimango nimeyashuhudia na kusimuliwa na watu walivymilia wakawa maboss baadae

Mimi mzee wangu kumaliza chuo kaajiriwa Kijiji mashine ya kusaga ipo maili nane,hana baiskeli,hakuna gari,debe la mahindi anabeba kichwani
Siku ya mshahara wanaanka saa 11 safari ya maili 18 kwa mguu,na kule palikua na simba balaa lakini baadae alihamishiwa wilayani,akawa boss wilaya,tukaishi vizuri
Kubebeshwa spana siku moja unaacha,unaenda kuendelea kubet
 
Back
Top Bottom