BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
muhimu ni kujituma, na kua na bidii katika kazi. Uaminifu na nidhamu yako katika kazi vinaweza kukusaidia kupata maslahi au kazi mbadala nzuri na yenye maslahi makubwa zaidi.Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha.
Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo unaompa faida hata ya milioni lakini akakupatia elfu kumi kama malipo yako at the same time anataka uwe loyal kwake point yao ya kujitetea ni kufundisha kazi.
Wakikimbiwa wanaanza kulalamika oh dogo nimefundisha kazi saa hivi analeta dharau hakuna brother sio dharau ni masilahi.
Kijana huyo naye anataka mtoto wake akasome English medium kama unavyopeleka wa kwako.
Mabrother kwenye sekta binafsi punguzeni ubinafsi lipeni watu wanachostahili sio unachojisikia.
Jiajiri uanze na wewe kutafuta wafanyakazi wanaotafuta maslahiKikubwa kujiajiri tu .
Kujiajiri au kujiariwa ukabaki kila siku unalialia hovyo kipi boraJiajiri uanze na wewe kutafuta wafanyakazi wanaotafuta maslahi
ndiposa utajua kwanini Idd Amin na ubabe wake wote aliitwa Dada.
Jifunze nidham ya pesa,ni jambo kubwa sanaNina bosi wangu amenilipa mshahara baada ya wiki 2 nikamuomba aniazime laki 2 tutakatana kwenye mshahara eti ananambia inamaana hela yote ile umeshamaliza kama unaona kuweka pesa huwezi afadhari niwe nakuwekea😇🤣🤣🤣🤣aisee nimecheka kwa herufi kubwa Hivi mabosi huwa wanatuchukuliaje??
Huyo dogo wa Mr Toyota akili hana,kaelezwa kila kitu,kapewa nauli ya Dodoma,kafika, kafanya kazi siku moja kaondokaDr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha.