Huyo dogo wa Mr Toyota akili hana,kaelezwa kila kitu,kapewa nauli ya Dodoma,kafika, kafanya kazi siku moja kaondoka
Kuna siku mtaani dogo mmoja alitaka nimfundishe kazi yangu,nikaenda nae,toka asubuhi tukarudi saa Saba usiku,kesho nampigia twende,anasema haendi