Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
 
Mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.

1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.

Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
 
wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.

Zingatia “zoezi”.
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
"Anapenda makiki kama msanii" - Weusi
 
wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.

Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
Unahitajika kwenye hilo "zoezi"
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Eti bwana! Kama Arusha inapaa ni kwa sababu ilikuwa ikipaa au ina vitu vinavyoifanya ipae na si kwa sababu yake. Mbona hakuipaisha Dar es Salaam alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam au huo muujiza umeanzia Arusha?
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Watu kama Makonda wanaendana na Iq za aliyemteua.
 
wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.

Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
Haukukosea kujiita jingaletu, maandishi yako yanaakisi akili zako mbovu.
 
Ogopa watu wafuatao ndani ya CCM na mitandao ya kijamii.
1. RC Arusha
2. RC Dodoma
3. DC Hanang
4. Mkurugenzi Moshi manispaa.

Wanategemea mitandao ya kijamii,kumuonyesha Samia kuwa ni wachapa kazi lengo likiwa wapandishwe vyeo au wabakie kwenye vyeo walivyo navyo.

Ila hakuna kitu wanachokifanya ila ni mbwembwe tu, wananchi wanateseka.
 
Back
Top Bottom