fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Lema alikua mkuu wa mkoa lini?? Lema ana bajeti gani au afanye kwa hela ya mfukoniMmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.
Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.