Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Miaka yote ya maisha yako ya siasa, haujawahi kuona hata moja jema la MakondaTanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.
Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.
Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Leo uwe mpumbavu kuona jema la Makonda akiwa Arusha?
Siku ukiona jema la Makonda, mbingu na Aridhi zitabadilishana makaazi