Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

Ila kuwa mtawala (sio kiongozi) wa Tanzania ni raha sana. Wape nyama tu, utasifiwa na kupigiwa makofi mpaka yesu arudi.

Yani mtu mzima na akili zake timamu anasifia nyama choma na maonyesho ya magari kuwa kama kipimo cha uongozi bora😂😂😂😂😂😂
Mwache aangaike... anakuchora namna ufikiri wake ulipofikia
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Hahaha mlikuwa na matumaini naye?
 
Aisee yaan uwauzie landrover, landrover yao. Takataka sana hii mkuu
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu📌🔨
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Naendelea kusisitiza VIZAZI vitakavyokuja kuikomboa TANGANYIKA bado HAVIJA ZALIWA!
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Maigizo tu hamna chamaana
 
Bandika clip basi, hivo tukisema unamsingizia itakuwa tumekosea binamu?
 
Back
Top Bottom