Zingatia βzoeziβ.wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.
Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
"Anapenda makiki kama msanii" - WeusiTanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.
Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.
Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Unahitajika kwenye hilo "zoezi"wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.
Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
Eti bwana! Kama Arusha inapaa ni kwa sababu ilikuwa ikipaa au ina vitu vinavyoifanya ipae na si kwa sababu yake. Mbona hakuipaisha Dar es Salaam alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam au huo muujiza umeanzia Arusha?Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.
Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.
Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Watu kama Makonda wanaendana na Iq za aliyemteua.Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.
Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.
Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Haukukosea kujiita jingaletu, maandishi yako yanaakisi akili zako mbovu.wivu wa kike mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.
1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.
Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
min -me njoo huku..... Half american nae sikuhizi ana m π₯±...π€£π€£Mambo mengine hata hayaeleweki
Upo serious au unatania mzee?πππππ2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
Zoeziπ€£π€£Upo serious au unatania mzee?πππππ
Mbele ya macho ya mteuzi, huyo Makonda anaonekana bonge la mastermind.Watu kama Makonda wanaendana na Iq za aliyemteua.
Ila kuwa mtawala (sio kiongozi) wa Tanzania ni raha sana. Wape nyama tu, utasifiwa na kupigiwa makofi mpaka yesu arudi.Zoeziπ€£π€£