Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

Lema alikua mkuu wa mkoa lini?? Lema ana bajeti gani au afanye kwa hela ya mfukoni
 
Umesahau na hili la Mkuu wa Mkoa mwenye TUHUMA nzito za kuondoa HAKI YA KUISHI Wqtanzania wenzake...hii ni kwa mujibu wa Kiongozi Mwandamizi wa Chama Kikuuu cha Upinzani Tanzania na Dola kubwa kabisa duniani...

Mtoto pendwa haendi Mahakamani wala waliotoa hizo tuhuma NZITO hawapelekwi popote...Tanzania oyeeee
 
Huku aliletwa kwa kazi maalum,yupo kupiga picha na kenyonyo wakti mji ni mchafu,mitaro imziba na kujaa tope...barabara zimejaa mchanga hazifagiliwi yuko tu mji kavimbisha nyash tu
 
Kwa Kiongozi hawezi kufanya kitu kizuri katika kuhudumia wananchi na kikaonekana kwa matokeo kwa wananchi bila kujitangaza kwenye MEDIA? Yaani Viongozi hadi wanajitangaza kwenye MABANGO kama bidhaa. Hii ni sawa kweli?
 
Mpaka sasa kashapata kampani kubwa sana na mtaji wa marafiki
 
Kazi ya Mbunge ni kuwakilisha Wananch Bungeni. Kuwasemea Mahitaji na Shida zao. Lema hajawahi kuwa Mteule WA Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…