Dahh ngoja kwanza tukawafariji wenzetu ibadaniKama itatokea tena trend kama hii ya kucheza fainali ya UEFA kila baada ya miaka 20 bas Arsenyo watacheza fainali nyingine 2046 ambapo Millennials wengi watakua na miaka 66 wakiwa wamebakiza miaka minne ya kuishi kwa mujibu wa life expectancy ya Mtanzania.
Upo sahihi.Ni sawa na mashabiki wa Man City au Leicester city tu.Angalia celebrities wanaoishabikia Arsenal, kuna uwezekano vijana wengi waliozaliwa 80's walianza kufuatilia mpira wakati ambao Arsenal ilikua inafanya powa.
Hawa mashabiki wa asenyo wasaidiwe la sivyo tatizo la changamoto ya afya ya akili litawamaliza ndugu zetu.Parefu kishenz
Washakutenda mkuu?Tayari nini mkuu
Don’t expect too much!
Nmemiss hii mambo tajiri!😝
Leicester City ni kama Suma Mnazaleti hitsong moja tu kwishaaaa haina fan base yeyote at least Man City hawana fanbase lakini wanaokoteza mashabiki kwenye hizi timu zilizojikatia tamaa kama Chelsea, Liverpool na zingine.Upo sahihi.Ni sawa na mashabiki wa Man City au Leicester city tu.
Exactly
Hapanauna uhakika?
Mwenyekiti mshahara unatoka lini aisee 😅🤣😂Ila hopes ndio zinatusaidis tuendelee kukaza. Bila hopes wengi tungekua tushagive-up. Tuendelee hiv hivi, kesho itatick.
Arsenal wanakusabahi.Naam
Pole sana.Achale nikale zangu bia mkuu
I really hate hopes
Mjomba mimi Man UArsenal wanakusabahi.
Itikia salamu kwanza kutoka Arsenane aka 8-2!Mjomba mimi Man U
Tambua hii ni weekend nisijekujibu mbovuItikia salamu kwanza kutoka Arsenane aka 8-2!