secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Unachora Rada Kama wezi au unachora Nini ?mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania
Kipaji kipo ni kutafuta, Messi hafanyi mazoezi kama Ronaldo ila ni mzuri kisoka. Mimi nilisoma na jamaa alikuwa anasolve maswali kwa kufikiria na kupata majibu. Alikuwa haandiki notes na anafaulu darasani. Matokeo ya form four na form six alikuwa top 3 ya Tanzania. UD kamaliza Chemical Engineering akiwa na GPA kubwa(Alikuwa mwanafunzi bora UDSM). Leo hii jamaa ni professor Norway. Huyu jamaa alikuwa hatumii nguvu nyingi kwenye kusoma. Yaani ukimpa swali jipya anakaa anafikiria ana-solve na analipata.Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Messi yuko vizur kwenye football kwa sababu Kila muda anafikirika kuhusu mpira na anatafuta namna ya kuwa Bora Kila muda.Kipaji ni kufanya kitu au jambo katika ubora na ufanisi zaidi Kwa urahisi bila kuumia
Vipaji vipo na watu wana vipaji
Wewe huwezi kuwa Bora kwenye football kama mesi
Ngoja nikuuliza.Kipaji kipo ni kutafuta, Messi hafanyi mazoezi kama Ronaldo ila ni mzuri kisoka. Mimi nilisoma na jamaa alikuwa anasolve maswali kwa kufikiria na kupata majibu. Alikuwa haandiki notes na anafaulu darasani. Matokeo ya form four na form six alikuwa top 3 ya Tanzania. UD kamaliza Chemical Engineering akiwa na GPA kubwa(Alikuwa mwanafunzi bora UDSM). Leo hii jamaa ni professor Norway. Huyu jamaa alikuwa hatumii nguvu nyingi kwenye kusoma. Yaani ukimpa swali jipya anakaa anafikiria ana-solve na analipata.
Nilitumia siku tatu tu kujifunza kuchora. Nilikuwa nikitembea njiani najenga picha akilini kama nachora.Unachora Rada Kama wezi au unachora Nini ?
Unazungumziaje Jambo ambalo wewe unatumia miaka kumi kulielewa na miaka Saba kulimudu huku Kuna mwenzio anatumia wiki.
Mkuu usikubali kuambiwa mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kuchora wakati kuchora kwenyewe kuligunduliwa baada ya binadamu kuwepo duniani.Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania
SOMA TENA ZAIDI YA MARA NNE ULICHOKIANDIKA.
Napingana na uwongo waliotuletea wazungu.Overthinking Is real 😂🤜🤛
chaiHabari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Jitihada + kufanya jambo kwa akili kubwa hutoa mtunda mzuri.Ch
chai
Kwa nini?Kwahiyo mwanangu ukikaza kidogo tu unakua Yamine Lamal sio??
Sawa sawa.Kwa nini?
Lamine Yamal ana nini?
Ningerudisha umri nyuma Ningefanya vema kuliko anavyofanya Yamal.