Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

nah sija break, but some of my uncle's Wana taka engagement na ndoa mwaka huu.

I can't do that hata kwa mtutu, got some projects zinazo hitaji focus yangu kwa ukubwa zaidi.
Never marry b'coz of people's will, labda kwangu mimi itokee mama/baba ni mgonjwa sana anakaribia kufa siku chache aniambie natamani kabla sijafa nishuhudie umeoa
 
nime waambia I can't be like a fuckving flag, Nina aims nazi pigania since nikiwa 10 so wa chill tu.

Maana ninacho kitaka hawaja wahi kuki pata, so napigana kuishi uhalisia ya wanacho ona ndoto.
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
dada zako ni shida, watakuwa waliwaletea mapichapicha wanaume, na inawezekana walipata mimba makusudi badala ya kuzuia.
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Pole mkuu
 
Duuh
 
Pole sana. Dunia haina huruma.
 
Chanzo Cha dada zako kuzalishwa nyumbani inaweza isiwe ni sisi wanaume.....

Wakati mwingine tutulize, akili na nafsi kwenye mitihani kuupata ukweli,

Huenda Kuna karma hapo, Ila wengi watapinga kwa sababu ya kusema hawaamini....

Inaumiza na bado aliyewazalisha Hana hata muda nao
 
Back
Top Bottom