Never marry b'coz of people's will, labda kwangu mimi itokee mama/baba ni mgonjwa sana anakaribia kufa siku chache aniambie natamani kabla sijafa nishuhudie umeoanah sija break, but some of my uncle's Wana taka engagement na ndoa mwaka huu.
I can't do that hata kwa mtutu, got some projects zinazo hitaji focus yangu kwa ukubwa zaidi.
nime waambia I can't be like a fuckving flag, Nina aims nazi pigania since nikiwa 10 so wa chill tu.Never marry b'coz of people's will, labda kwangu mimi itokee mama/baba ni mgonjwa sana anakaribia kufa siku chache aniambie natamani kabla sijafa nishuhudie umeoa
dada zako ni shida, watakuwa waliwaletea mapichapicha wanaume, na inawezekana walipata mimba makusudi badala ya kuzuia.Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Pole mkuuNilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
DuuhNilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Pole sana. Dunia haina huruma.Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Insha'Allah mzee ndoa ni muhimuNomadix nawa ambia oweni, hii kataa ndoa huwa Ina back fire aisee.
Monetary doctor, makutupora, Half american
ππ Oa wewe kwanzaNomadix nawa ambia oweni, hii kataa ndoa huwa Ina back fire aisee.
Monetary doctor, makutupora, Half american
arghh π πππ Oa wewe kwanza
Ni wangapi mkuu.Watu mnanishambulia lakini hamjui ugumu wa hili Jambo Hakuna Mtu anapenda kuona dada zake wanazalia nyumbani Tena dada zangu wote Bora hata ingekuwa Mmoja.