Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya katika siasa ya Bongo


Unazungumzia 2010 ambapo Kikwete alipata asilimia 62.83% na Slaa 27.05%?
Vyama vingine vikapata 10.12%.
Mbona 2015 mlifanya vizuri zaidi na EL?
Kwanini unaamini sana 2010,wakati 2015 mwamko ulikuwa mkubwa na watu wengi walijiandikisha kuzidi 2010?
 
Usiamini hizo percentage zilizojaa udanganyifu wa hali juu. Kumbuka wakati huo Serikali ilikuwa na kashfa chungu nzima kuanzia EPA, IPTL, Richmond, Kilimo Kwanza, Meremeta, Kigoda etc


Unazungumzia 2010 ambapo Kikwete ealipata asilimia 62.83% na Slaa 27.05%?
Vyama vingine vikapata 10.12%.
Mbona 2015 mlifanya vizuri zaidi na EL?
Kwanini unaamini sana 2010,wakati 2015 mwamko ulikuwa mkubwa na watu wengi walijiandikisha kuzidi 2010?
 
Usiamini hizo percentage zilizojaa udanganyifu wa hali juu. Kumbuka wakati huo Serikali ilikuwa na kashfa chungu nzima kuanzia EPA, IPTL, Richmond, Kilimo Kwanza, Meremeta, Kigoda etc

Kashfa leo zimeisha? Ajenda ya ufisadi na rushwa iliyowapa umaarufu CDM imepotelea wapi?. Unataka tuamini kwamba sasa rushwa imekwisha?
 
Imetulia mlemle.
 
ccm wamefika mwisho sema kinacho tukwamisha ni brainwashed waliyo fanyiwa watanzania tangu tupate uhuru. mfumo wa elimu yetu ni mbovu hasa elimu ya msingi na katika familia zetu. tunafundishwa waga tangu utotoni kiasi hata mashuleni watoto wanaogopa kuuliza maswali. kutokana na woga huo wa kuogopa wakubwa kuanzia nyumbani mpaka mashuleni ndio sababu ya ccm kuchukuwa advantage hiyo. ya kutumia vitisho kufanikisha azima yake ya kubakia madarakani. kwafano afande siro akipewa amri haramu na waziri hana uwezo wa kumwambia bosi hiyo amri haitekelezeki badala yake ataitekeleza bila hata kuangaria kanunu za kazi yake zinasemaje. hivyo hivo kwa mafisa wa usalama, wakuu wa majeshi kuja mpaka wasimamizi wa uchaguzi kurudi chini mpaka wapiga kura nikufuwata amritu watanzania wengi wakawaida hawana akiri ya critical thinking. yaani wakiambiwa au kusoma au kuona kitu wanakichukulia kama kilivyo hawajiulizi kwanini hicho kitu kimetokea,
aliye kisababisha alikusudia nini na kwa nini? kwamfano babu wa loliando watu walivumisha, na kila mtu alikimbilia kuywa kikombe lakini mpaka leo hakuna anaye juwa nani wa kwanza kutoa hizo habari za kikombe. hata mahakimu na wanasheria ambao ndio tulitegemea wawe na uwezo wa kutembea katika misitari ya professions zao lakini nao wanapokea amri halamu. mpaka kuja kurudisha watu kwenye akili ya kujitambuwa ni kazi ngumu ambayo inahitaji kujitowa kama Tundu lissu.
 
Mkuu kwenye bandiko lako kuna ukweli sana kuliko uwongo!japo najiuliza kama mambo yapo hivyo nongwa ya mkwere na mamvi inatokana na nini??
 
Asante kwa makala
 

Tafadhali ungepata nafasi ungesoma kaji kitabu kadogo kenye title " THE ART OF POLITICAL WAR FOR VICTORS AGAINST THE VAUNGUISHED". kitabu hichi nilikisoma kwa Mzee Mmoja huko Mwanga Milimani.

Nilitafuta kitabu nchi nyingi ambazo nilifanikiwa kufika baada ya kukisoma, lakini sikufanukiwa. Ilibidi nitoe copy ya hicho kitabu huku nyumbani ndipo my former graduate school waka kiproduce ninacho. Kitabu hichi ni tafsiri anadai yeye alikipata kama zawadi ya vitabu siasa iliyopevuka ni vingi walipewa ila hicho NONDO.

Walipewa Moscow na mtu mmoja alikuwa anaitwa Leonid Brezhnev. Jitahidi kitafute na kisome ukiwa umetulia utafahamu dunia ya siasa.
Kwa hali ya siasa ya vyama vingi tuliyonayo, ukikisoma vizuri kinatabiri kitu gani kinafuata, kila hatua na hauwezi kosea.
 
Siasa ni sayansi kamilifu
 

Mkuu amenipa kazi kidogo ya kufanya uchambuzi wa kisayansi w a bandiko lako, linaleta maana. Lakini wabobezi wa uchambuzi lazima tujiulize jee ni sahihi?

Sasa kuna formular zifuatazo kama unauwezo jitahidi kutumia kiuandisji na kwa uchambuzi wa suala lolote zoto la kisayansi

HYPOTHESIS ANALYSIS:
hypothesis analysis testing


hypothesis, sometimes called confirmatory data analysis, is a hypothesis that is testable on the basis of observing a process that is modeled via a set of random variables.

In general, analysis is defined as the procedure by which we break down an intellectual or substantial whole into parts or components.


Philosophy
Hypothesis testing and philosophy intersect. Inferential statistics, which includes hypothesis testing, is applied probability. Both probability and its application are intertwined with philosophy.

"All knowledge degenerates into probability." Competing practical definitions of probability reflect philosophical differences. The most common application of hypothesis testing is in the scientific interpretation of experimental data, which is naturally studied by the philosophy of science.


SINTHESIS ANALYSIS :

Synthesis is defined as the opposite procedure: to combine separate elements or components in order to form a coherent whole.

Kama ukiweza ku adopt mfuma huu katika uandishi wewe utakuwa muandishi mzuri sana.

Na kwa kufuatilia kisayansi ndio utaweza kujua CHADEMA ni chama kikoje? mapungufu yake kwa kila hatua na kujua ni chama kinaendeshwa kanyaga twende. Tukipata muda nitazungumzia suala la Lissu, ujio wake na kipi kinafuata na kipi kinaweza kumtikea na yote haya yatatokea kwa uhakika.

Uki aply that analysis na nitakupatia kitabu THE ART OF WAR FOR VICTORS AGAINST THE VANGUISHED. Na nina hakika hichi kitabu CCM wanakitumia kwa ukamilifu wake na wako page ya 3 katika page 610. Hasa point ya 4 ya kutenganisha akili za uzamivu (the Elites with pristine mind) na the masses ili wasiweze kutoa uchambuzi wa yanayo endelea wakati chama kinaendelea kufutika.

Fuatilia elimu ya watendaji wa Chama wakuu wa kila siku wa Chadema, wote elimu ya mashaka, Mwenyekiti, Katibu Mkuu, Naibu katibu mkuu Bara na Visiwani hakuna hata mwenye Degree moja ni form 4, CHETI, Form 6, na Diploma tuu na bila uzoefu wa utafiti.
IPO KAZI
 

Mkuu kwa mfumo wa undeshaji vyama na siasa za upinzani Tanzania kwa ulivyo leo, kama hakuna mabadiliko makubwa upinzani, basi CCM itatawala miaka 100 inayo kuja.

Na kama wapinzani watakuwa na wabunge wa Majimbo ya kuchaguliwa chini ya wabunge 10 Tanzania bara, basi ujue siasa hazitobadilika haraka na namba hiyo ya wabunge itabadilika labda miaka hamsini ijayo.

Sijui unafahamu, the political brain ya vijana wa Tanzania ambao wamehamia CCM kwa wingi ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…