Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Mkuu acha kututisha bwana mbona nilisikia wengine wameoana kabisa humu
 
Dooh kweli we makaveli
 
Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!labda anataka wahenga wenzie huwezi jua
 
@Shunie
Sakayo
Raynavero
Dinazarde
Miss Natafuta


Hao nliowataja wote ni wadada members msiwaogope pamoja na kuwa kwao active.

Ila kwa kauli yako ina ukweli pia hasa hawa wadada wanaoingia na kujifanya wanatafuta wachumba wengi ni madume wenzenu kama Giree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…