THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Majini yanaishi bahariniMajini na mpira wapi na wapi.
Naunga mkono hojaTuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.
Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Kumbe Pep aliomba msamaha thus why akachukua UEFATuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.
Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Huu ni upumbavuTuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.
Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Mizimu inacheza kiungo, inatoka pasi za magoli, inakaba, inafunga. Soka ni sayansi.Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.
Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Vizuri umeusoma UbumbavuHuu ni upumbavu
Mpumbavu umesoma upumbavu na ume Reply upumbavuUoumbavu umeandika
Kama ni sayansi ni sayansi ipi?Mizimu inacheza kiungo, inatoka pasi za magoli, inakaba, inafunga. Soka ni sayansi.
Utoto nilionao ndio umekuvutia usome hapa..so na wewe ni mtoto maana watoto hua wanacheza na watoto wenzaoPunguza utoto
Ndio maana umekuja hapa mtoto mwenzangu😂😂Utoto raha sana
Kocha wakaida?Akili za wajinga hizi
Mpira ni mchezo wa wazi
Tuchel ni kocha wa kawaida