Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.

Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..

Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA

Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.

Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Bullshit ...
 
Vipi na wachezaji wa kiafrica wanaotemwa na timu za kiafrica kama yanga walivyomtema Fei Toto!
 
Unapenda kuonewa huruma...sasa Mane si alisepa mwenyewe Liverpool...bayern akaonyesha nidhan mbovu
 
Unapenda kuonewa huruma...sasa Mane si alisepa mwenyewe Liverpool...bayern akaonyesha nidhan mbovu
Unadhani aliondoka kwa Kupenda?
We Mtu unapigana vile unalipwa 100 like serious unaomba uongezewe wanagoma wanasema bora usepe ila wakat huo kuna vi chalii full injuries ila kisa tu viingereza vina Ramba 100 kama wewe na zaidi.

Hizo sio dharau?
 
Mambo hayo ni ya kawaida kwenye ajira...kuna mtu analetwa unamfundisha kazi alafu anakuja kulipwa zaid yako...
Yeye alijichanganya tu
 
Back
Top Bottom