Hakuna Kocha Aliemdharau Mchezaji kutoka Afrika na mizimu ya Kiafrika ikamuacha salama, TUCHEL waulize Pep na Klopp

Pep Hana mafanikio?
 
Kuna mahali umeandika Waafrika hawajafunzwa kkujibizana. Mwafrika yupi unaamzungumzia? Mkaburu?
 
Pep Hana mafanikio?
Pep hakuwahi Beba UEFA toka atoke Barca..na kama uliangalia Match ya fainali ya UEFA ile anabeba Week 2 hadi siku ya Fainali Man city walikua wanampost YAYA TOURE Kuliko kitu chochote
 
Kuna mahali umeandika Waafrika hawajafunzwa kkujibizana. Mwafrika yupi unaamzungumzia? Mkaburu?
Nionyeshe Muafrika yupi anaweza kujibizana na Mzungi hata Historia ipo wazi..Mababu zetu walitawaliwa wakakubali wakisema wanaiachia kazi mizimu
 
unapanic sana ukianzisha hoja usije na majibu yako kheri ukae nayo jinga kabisa
Unajua Mtu aliepanic mi nimekujibu ulivyojibu ila unawaza nimepanic.
Je wewe ulieanza kwa kusema upumbavu? Kwann sikusema umepanic..
Angalia wote walioreply kistaarabu nimewajibu kistaarabu...#Always hua najibu Shit kwa mtu Shit
 
Nionyeshe Muafrika yupi anaweza kujibizana na Mzungi hata Historia ipo wazi..Mababu zetu walitawaliwa wakakubali wakisema wanaiachia kazi mizimu
Watu wamekufa wanapigani uhuru wakina Steven Biko, Mkwawa, wamefungwa jela kina Mandela wewe unasema waliachia mizimu?
 
Hizi ni akili zakiafrika kabisa.Hiyo mizimu kwanini isiwezeshe timu za kwao afrika ikaangaike na timu za wazungu.ujinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba City waliomba msamaha ndo maana wamechukua UEFA?!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Proganda and mass persuasion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…