beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Bullshit ...Tuchel anachopitia ni Adhabu kutoka kwa Mizimu ya Mababu wa Sadio Mane na Mizimu ya Kiafrika.
Huwez ukaamua ugomvi ule wa SANE na MANE kwa dharau Vile,..
Muulize Klopp alimdharau MANE hakufuzu UEFA yupo huko anapigania kombe na Team kama MACCABI HAIFA
Pep Alimdharau YAYA TOURE kahangaika na City yake kubeba UEFA hadi wakaomba msamaha.
Dunian undermine watu uwezavyo ila sio Waafrika,Waafrika hawajafunzwa Kujibizana kama Wazungu,Wao ukiwakosea hua wanasema, Sawa haina shida wanafunika chini..Ila mizimu ndio itakayofanya Kazi.
Mandela alikua anapigana?Watu wamekufa wanapigani uhuru wakina Steven Biko, Mkwawa, wamefungwa jela kina Mandela wewe unasema waliachia mizimu?
Usilete Mpira wa Kichawi kwenye vitu Professional?Vipi na wachezaji wa kiafrica wanaotemwa na timu za kiafrica kama yanga walivyomtema Fei Toto!
Kasome vizurKwamba City waliomba msamaha ndo maana wamechukua UEFA?!!!
ππππππππππππππ
Onyesha Akili zako ambazo sio za Kiafrika nizione.Hizi ni akili zakiafrika kabisa.Hiyo mizimu kwanini isiwezeshe timu za kwao afrika ikaangaike na timu za wazungu.ujinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kufikiria ujinga kama ulioufikiria wewe nakuuleta mtandaoni.Onyesha Akili zako ambazo sio za Kiafrika nizione.
Unadhani aliondoka kwa Kupenda?Unapenda kuonewa huruma...sasa Mane si alisepa mwenyewe Liverpool...bayern akaonyesha nidhan mbovu
Mambo hayo ni ya kawaida kwenye ajira...kuna mtu analetwa unamfundisha kazi alafu anakuja kulipwa zaid yako...Unadhani aliondoka kwa Kupenda?
We Mtu unapigana vile unalipwa 100 like serious unaomba uongezewe wanagoma wanasema bora usepe ila wakat huo kuna vi chalii full injuries ila kisa tu viingereza vina Ramba 100 kama wewe na zaidi.
Hizo sio dharau?