Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani


Tupo pamoja wasitupangie wa kumkumbuka
 
Kazi gani? Kwani kipi Cha uongo nimeandika?

Mwendazake alikuwa hapori watu pesa? Alikuwa hafungii accounts na kuchota pesa? Hajawahi tamka kwamba atabadili pesa ili walizotoa pesa banki ziwadodee?

Na upuuzi mwingi kama huo.

bado hujasema mavi ww
 

usitulazimishie shida zako ziwe zetu!! alikua disaster kwako na familia yako
 
Wala rushwa wote wameikamata system
 
Eti matumizi ya umeme yalipungua kwa sababu.....

Sasa huu ndio uchawa professional, you have to think deep to serve your master to the maximum, damn damn!
Anawazimu
 
U mzima lakini?
 
Katika Historia kila mtu anayo nafasi ya kukumbukwa kawa mema au m,abaya alioyafanya. Kwangu mimi hakua kiongozi Bora kwa watanzania wenye kujielewa na ambao walikua wanataka kusonga mbele kutoka pale tulipo kuwepo kabla ya yeye.
Nchi haindeshwi kwa vitisho bali utawala wa Sheria.
 
Lala uamke tena kisha usome ulichoandika, nahisi haijatumika akili hapa labda kimetumika kiungo kingine cha mwili labda kiuno au kiwiko.

Nchi iko pazuri awamu ya sita??
-Ongezeko la nauli 43%-45%
-Ongezeko Gharama za mafuta 40% - 45%
-Ongezeko gharama za vyakula 30%- 50%
-Ongezeko gharama za kuunganisha umeme 1000%

-Ongezeko la makato ya kutuma pesa, Kutoka makato ya Tsh 1500 hadi 4370 kwa muamala wa Tsh 400K hadi 500K ambapo ndio kiwango cha juu cha mwisho kwa watu wa maisha ya chini.( ongezeko 191%)

-Gharama nafuu za umeme zilipelekea watu wengi kuunganisha umeme majumbani (hapa matumizi ya umeme yaliongezeka sana)

Upatikani wa umeme, wastani wa siku 3-4 kwa wiki ( kabla ilikuwa wastani wa siku 5-6 kwa wiki)

Hapo hatujazungumzia,
-Huduma mbovu ofisi za umma,
-Madawa
-Vifaa tiba
-Uchakavu wa miundombinu
-Upigaji n.k

Naungana na mtoa hoja kuuliza, Magufuri aliwezaje kumuda kuendesha nchi bila nauli kupanda, bei za vyakula kupanda, mafuta kupanda wakati ambao ulimwengu umejifungia ndani kwa kuhofia korona??

Hao manaowasemea waliporwa na wao wapo kimya wanajua kabisa walirudisha pesa waliyoipata kwanjia za kijanja janja ndomana wapo kimyaaaa.

Mmoja wapo ni Zakaria mmiliki wa mabasi Mwanza Tarime, amenyang'anywa jengo, pesa, eneo na yuko Kimya kwasababu anajua hakuvipata kwanjia za haki. Ila ninyi ndio mnawesemea.
 
Uzuri Huwa mnapayuka bila uthibitisho.
Hapo hatujazungumzia,
-Huduma mbovu ofisi za umma,
-Madawa
-Vifaa tiba
-Uchakavu wa miundombinu
-Upigaji n.k
 
Uzuri Huwa mnapayuka bila uthibitisho.
Hahahahaha unataka uthibitisho upi tena??? Au we unaishi Tanzania ipi ambayo:-

Ongezeko la nauli halipo,
Ongezeko la bei za mafuta halipo,
Ongezeko la makato ya miamala halipo,
Ongezeko gharama za vyakula halipo,
Ongezeko la gharama za kuunganisha umeme halipo.

Ukisoma nilichoandika mimi ambacho ni uhalisia na ukichoandika wewe nani kapayuka bila uthibitisho???
 
Hayo yote ndio yanafanya uchumi unakua na Ongezeko ni muhimu Ili kukuza uzalishaji.

Dormant prices don't grow mwisho Ongezeko Hilo ni dogo sana kulinganisha na fursa zilizozalishwa kwenye maelfu ya Ajira,nafuu iliyoletwa Serikali kwenye Elimu,Afya, biashara na uwekezaji.

Ndio maana with those unaita Ongezeko still the economy is growing very fast.It would have been the case if the econy would be stagnant or not producing employments as it was the case awamu ya 5.
 
Umesahau alivyokataa kukufira?
 
Vitisho ndio nini mkuu,

Kiongozi lazima awenazo sura mbili za kiuongozi

Jambo la kwanza ambalo wengi hamlipendi ni Ukali

La pili ni upole!

Sasa kwa tarifa yako ni kwamba, kwa nchi kama tz, kiongozi kuwa mpole ni dhambi kubwa mno, hauwezi kupambana na uovu wa watanzania

Wengi wa Watanzania ni watu wanaopenda kipato kikubwa, kazi ndogo na pengine hakuna kazi

Na ndiyo maana kila ofsi kuna mafisadi na hayana huruma

Unataka uwe mpole ili iwe nini? Labda na wewe uwe mwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…