Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIOXIA imejitegemea kiutawala tangu 2021, sokoni bado kuna flash zina chapa(brand) ya TOSHIBA. Wakati inajitegemea August 2021, ilikuwa na thamani ya bilioni $20, zaidi ya trilioni 46 za Kitanzania. Hii ni zaidi ya bajeti ya serikali ya Tanzania kwa 2022/23 ambayo inasoma TZS 41.48 trilion.KIOXIA Formely TOSHIBA
Hizi flash za KIOXIA zina mfumo wa ulinzi wa taarifa zilizopo kwenye flash(Security Software). Mfumo huu unafanya kazi kama ifuatvyo nitaeleza kwa muhtasari:Nahitaji flash disk yenye 'write protect' switch, iwe 8GB au 16GB
Je unazo?
Billgates wa bongo ipo karibuNataka frash ya 120gb ipo? Na kama unayo ni bei gani?
Mkuu flash ya chini ya 128gb na juu ya 64gb ipo? bei yake ipoje? kuna huduma ya delivery kimara?Billgates wa bongo ipo karibu
GB 128, bei ni TZS 60,000/-
Chini ya 128 GB na juu ya 64 GB haipo. Flash zinafuata mtiririko huu GB 4, 8, 16, 32, 64, 128, 256, 512, 1 TB (1024 GB).Mkuu flash ya chini ya 128gb na juu ya 64gb ipo? bei yake ipoje? kuna huduma ya delivery kimara?
Hii inasaport smartphone zote?Tunazo ndio, kama hiyo hapo kwenye picha.
Nikupongeze katika hiliUnaletewa popote Tanzania [emoji1241] kwa basi, unalipia ukiushika mzigo.
Simu ziite #0629831936 au #0765542197 [emoji847]