INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

Attachments

  • 32GB_with_OTG.jpeg
    32GB_with_OTG.jpeg
    70.9 KB · Views: 32
KIOXIA Formely TOSHIBA
Umenena vema kaka mkubwa, KIOXIA ni kampuni tanzu (subsidiary) ya TOSHIBA. Toshiba ni kampuni ya Kijapani iliyoanzishwa mwaka 1873, huku kwetu sijui tulikuwa tunafanya nini kipindi hicho wanahistoria watatusaidia.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
KIOXIA Formely TOSHIBA
KIOXIA imejitegemea kiutawala tangu 2021, sokoni bado kuna flash zina chapa(brand) ya TOSHIBA. Wakati inajitegemea August 2021, ilikuwa na thamani ya bilioni $20, zaidi ya trilioni 46 za Kitanzania. Hii ni zaidi ya bajeti ya serikali ya Tanzania kwa 2022/23 ambayo inasoma TZS 41.48 trilion.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Nahitaji flash disk yenye 'write protect' switch, iwe 8GB au 16GB

Je unazo?
Hizi flash za KIOXIA zina mfumo wa ulinzi wa taarifa zilizopo kwenye flash(Security Software). Mfumo huu unafanya kazi kama ifuatvyo nitaeleza kwa muhtasari:

Unakuwezesha kuifanya flash yako ifunguliwe kwa nywila(password) unakayoiweka wakati unaiweka hiyo progrm kwenye flash.
Unaweza kugawa flash yako kwenye sehemu mbili, sehemu moja ipo uchi, mtu yeyote anaweza kuona na kuweka vitu(no write protection) na sehemu nyingine imefungwa kwa nywila, ili uone au uweke vitu unapaswa kuweka nywila kwanza(write protect).

Au unaweza kuweka 'write protect' flash nzima.

Hata mtu aki-format sehemu yenye 'write protect' haiondoki. Unaweza kui-format ukiwa umeweka nywila sahihi.
Ukisahau imekula kwako.
 
Mkuu flash ya chini ya 128gb na juu ya 64gb ipo? bei yake ipoje? kuna huduma ya delivery kimara?
Chini ya 128 GB na juu ya 64 GB haipo. Flash zinafuata mtiririko huu GB 4, 8, 16, 32, 64, 128, 256, 512, 1 TB (1024 GB).

Delivari ipo popote Tanzania [emoji1241]
KIOXIA_TransMemory_U202_USB_White_128GB.jpg
 
Back
Top Bottom