Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Nimeelewa bro, I will never give up till my last blood drop

Maisha hayanaga Guarantee. Kuna Kupata na kukosa.
Raha inatoka ndani mwake sio nje.
Shukuru na appreciate ukifanyacho na ukipatacho.
Usiwe na tamaa na vitu vya wengine.
Simplify na neutralize Maisha yako yawe simple kadiri ya uwezavyo.

Usikubali kuwa mtumwa wa Maisha au MTU yeyote.
Mke akikusumbua fukuza,
Dini ikikusumbua Achana nayo,
Maisha yanakuwa ghali tafuta Maisha rahisi.
 
Mkuu si kuhusu pesa au kazi, ni vita ya mazingira yanayonizunguka, nimejifunza baya halilipwi kwa jema.

After I survived 2 days ago, basi sitoondoka Tena. Labda wao and beside ni haki yangu so nitaipambania
 
Mkuu si kuhusu pesa au kazi, ni vita ya mazingira yanayonizunguka, nimejifunza baya halilipwi kwa jema.

After I survived 2 days ago, basi sitoondoka Tena. Labda wao and beside ni haki yangu so nitaipambania
Keep it up man if you feel quitting usisite kuja humu tena they are alot of good people here
 
nilikuambia, tatizo linapokujia lipokee tena lipokee tatizo had lione kwamba hapa limefika mahali pake, halaf usitegemee fulani akupe furaha, fulani ananipenda kweli, fulani ananionaje jali kujihusu wewe, achana na habari hizo wamekufunga akili au vyovyote vile wewe focus na namna unatoka hapo, wewe ni mwanaume simamia uanaume wako, kumbuka Mungu hukupa mtihani akiwa anajua huo lazima utaumudu kivyovyote vile, jus figut for your own happiness dude!! pumzi ya bure aliokupa Mungu itumie vizur unajikatisha uhai unajua utakachokutana nacho huko unakoenda?? hizo ni changamoto, dawa zenyewe hujamaliza nna uhakika mrejesho kwa babu hukumpa,unadhan unasaidikaje ndugu?? umenitia hasira sana leo yan ushaur wote nilokupa its nothing kweli?? yes tulimalizana but sikukukwot wewe.
 
kama hauna mtoto, mke, ndugu, bas jiue tu kaka maana hautakuwa na chakupoteza, ila kama ivyo nilivyovitaka unavyo bas fikiria utawaacha ktk hali gani, usiwe mbinafsi kiasi iko
 
Keep it up man if you feel quitting usisite kuja humu tena they are alot of good people here
Mhubiri 9:10

Em kausome mkuu then angalia maisha yako af pitia na huo mstari 🙏
 
Ametaguta attention kwa kiasi fulani umeipata
Ila hizi ni zaidi ya tabia za kimama
 
I always tell you, there is next life for me. I survived ila ulikata kamba yangu vibaya.
 
Oi Mchizi bado Yupo au kashaenda .... Mrejesho Tafadhari
 
Ametaguta attention kwa kiasi fulani umeipata
Ila hizi ni zaidi ya tabia za kimama
he is not okay at all!! hajatafuta attention wala
I always tell you, there is next life for me. I survived ila ulikata kamba yangu vibaya.
ulistahili, u went too far, kama sio hio mention ningesimamia nilichokuamboa and as for now naendela na msimamo wangu but nikukumbushe, mtu ni kuambiwa, akasikiliza kisha akatekeleza unatakiwa kubadilika.
 
don't kill ur self
 
mimi nimeshauri kias kwamba had naona najisumbua kuna muda ananambia vitu vyake binafs nimejaribu kumshauri kwa namna nzuri sana but huyu kiumbe hasikii wala hashauriki nimeshachoka kiasi nimemwambia kama unaamua kujiua asinishirikishe mimi
Mpe mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…