Hakuna mchezaji wa Simba anayeingia kikosi cha kwanza Yanga

Hakika wewe ni utopolo,yaani upigwe 2-0 kwenu na al hilal klabu ya daraja la kati halafu useme uto ina quality na haikufuzu sababu ya kukosa bahati?
Timu za daraja la kati ni Enyimba, Al masry, 5imba, Stellenbosch nk. Huku kwa akina Al ahly, Mamelodi, Young africans, Al hilal hampawezi waachieni wakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…