Aisee, hii inaumiza sana, vijana mwili unaisha kabisa, wanachakaaKile Mwanza Kuna pombe inaitwa Ambiance,nyingine Shimha,yaani vijana wanakunywa halafu wanachoka kama Mzee wa miaka 70 kumbe mtu ana miaka 20 tu
Sema hivi vijamaa vina faida sana kwa wenye maduka.Acha tugongenge visungura miksa, double kiki, diamond,tiger,rivella, na wenzake hizi pombe za buku mbili mbili zinasaidia kidogo kuliko bia watoto wale njaaa
Acha tuwe mazombi tu kama vipi kwani kazi ya maini ni nini??
Halafu kama ni kufa tutakufa tu hata na stress au na mbu!
Hapa chuga tunayo iyo inaitwa nyingi nyingilii ukipiga ya buku ni kama umekunywa castle lite kumi
Cha msingi tushauri tule vizuri huku tukichapa kazi
π³π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hata wenye akili kama madktari nao ni walevi kupindukia, ila hawanywi hivi vipombe vya aina ya Sungura sababu wanajimudu kiuchumi kunywa Serengeti light, shida hapa ni umasikini, masikini ndio wanaumizwa na visungura..Acha nature ifanye kazi yake
Hapo watakufa wajinga Kwa ini na figo Kwa kujitakia watabaki walioko na akili
HatariWaziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO.. Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza. Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...www.jamiiforums.com
Kwa hatua aliyofikia Poor Brain , visungura vikipigwa marufuku anaweza akazimaWapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..
Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Visungura vina tofauti na kuka.Kwa hatua aliyofikia Poor Brain , visungura vikipigwa marufuku anaweza akazima
Bado mkuuKuna wimbo mmoja wa Singeli jamaa anasema siku hizi wameacha viloba mambo ni Safari na Savanna, nikajua tumepiga hatua.
Kumbe kuna visungura?
Sasa visungura vikoje hivyoo?
Kheri a thousand times Visungura huko kwingine wataokota mabaki tu.Kaka Analyse mi ulevi wangu ni mashangazi..
ππππππππππ
Mashangazi tena.... YamefanyajeKheri a thousand times Visungura huko kwingine wataokota mabaki tu.
Sawa.Mashangazi tena.... Yamefanyaje
ππππππππ
Acha kujifanya ujui ... kwan huski kuwa visungura vina relate na figo
AhsanteSawa.
Sio Dawa....!Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..
Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Kumbe dawa ni nini?Sio Dawa....!