Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

Acha tugongenge visungura miksa, double kiki, diamond,tiger,rivella, na wenzake hizi pombe za buku mbili mbili zinasaidia kidogo kuliko bia watoto wale njaaa
Acha tuwe mazombi tu kama vipi kwani kazi ya maini ni nini??
Halafu kama ni kufa tutakufa tu hata na stress au na mbu!

Hapa chuga tunayo iyo inaitwa nyingi nyingilii ukipiga ya buku ni kama umekunywa castle lite kumi
Cha msingi tushauri tule vizuri huku tukichapa kazi
Sema hivi vijamaa vina faida sana kwa wenye maduka.
 
Dah hizi spirit zipigwe stop...alafu kuna og na fake..sasa hizo fake...dah
 
Acha nature ifanye kazi yake

Hapo watakufa wajinga Kwa ini na figo Kwa kujitakia watabaki walioko na akili
Hata wenye akili kama madktari nao ni walevi kupindukia, ila hawanywi hivi vipombe vya aina ya Sungura sababu wanajimudu kiuchumi kunywa Serengeti light, shida hapa ni umasikini, masikini ndio wanaumizwa na visungura..
 
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.

Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..

Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Kwa hatua aliyofikia Poor Brain , visungura vikipigwa marufuku anaweza akazima
 
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.

Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..

Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Sio Dawa....!
 
Back
Top Bottom