Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.

Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..

Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
 
Hata waweke kwenye packaging ya gharama zaidi bado kitauzwa rejareja ili mradi tu kila mtu apate.
Hivi vidudu vina arosto mbaya sana! Tena wengine asubuhi hawawezi kunywa hata chai hadi washitue. Mtu anashitua, kikipungua kichwani anashitua tena mwendo ndio huo huo tofauti na bia unaweza kunywa ukakaa siku 3.
 
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.

Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..

Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Kuna wimbo mmoja wa Singeli jamaa anasema siku hizi wameacha viloba mambo ni Safari na Savanna, nikajua tumepiga hatua.

Kumbe kuna visungura?

Sasa visungura vikoje hivyoo?
 
Aisee ni hatari, ni vipombe vyenye very high alcohol levels, ambavyo vimefanywa so readily available kwa kuwekwa kwenye vichupa vidogo vya plastiki, wanauza sijui buku buku huko mtaani, vimesambaa na vinapatikana hovyo hovyo kama bigijii.., aiseee

Kuna kijana mmoja mtaani nilimuona sikuamini, kijana alikuwa kidari zamani, alikuwa na afya nzuri sana na mwenye muonekano mzuri, ila kwa sasa kabaki skeleton, kawa kama chizi muokota makopo, akiamka hadi anaenda kukala ni visungura , hata kula hali.., hivi hii serikali yetu haijali vijana namna hii.., mnataka hadi tuanze kutembea na mabango mabarabarani huku tukiimba na kulia, ?! Why??!
 
Bro zilikuwepo power one miaka ile ya mwanzo wa 2000, zikaja zed na wenzake, vikaja viroba na sasa tupo double kiki jobi na smart Gin, bado watu tupo na uzima bro, acha vijana tuendelee kupunguza wingi wa mawazo yasio na majibu kichwani mwetu, maisha kwa ujumla wake ni furaha na raha, sasa katika ardhi hii ya Tanganyika ni stress kama tupo jehanamu ! Acha tuidanganye akili bro walao nasi tuone furaha ya maisha.
 
Hali mtaani ni hatari.
 
Acha tugongenge visungura miksa, double kiki, diamond,tiger,rivella, na wenzake hizi pombe za buku mbili mbili zinasaidia kidogo kuliko bia watoto wale njaaa
Acha tuwe mazombi tu kama vipi kwani kazi ya maini ni nini??
Halafu kama ni kufa tutakufa tu hata na stress au na mbu!

Hapa chuga tunayo iyo inaitwa nyingi nyingilii ukipiga ya buku ni kama umekunywa castle lite kumi
Cha msingi tushauri tule vizuri huku tukichapa kazi
 
Nyingi nyingi naskia ni chemical tupu, dreva wa bajaji akipiga ya buku anasahau bajaji siku tatu
 
Sijawahi gusa iyo kitu ila Kuna jomba alinipiga ya buku mbili akasahau kwake badala aende sinoni akaunga mpaka kwa morombo
Kuna mjinga mmoja hapo ungalimited ndio anamiliki hicho kiwanda ni wanachanganya ma ethanol miksa gongo
 
Aisee ni hatari, ni vipombe vyenye very high alcohol levels, ambavyo vimefanywa so readily available kwa kuwekwa kwenye vichupa vidogo vya plastiki, wanauza sijui buku buku huko mtaani, vimesambaa na vinapatikana hovyo hovyo kama bigijii.., aiseee

Kuna kijana mmoja mtaani nilimuona sikuamini, kijana alikuwa kidari zamani, alikuwa na afya nzuri sana na mwenye muonekano mzuri, ila kwa sasa kabaki skeleton, kawa kama chizi muokota makopo, akiamka hadi anaenda kukala ni visungura , hata kula hali.., hivi hii serikali yetu haijali vijana namna hii.., mnataka hadi tuanze kutembea na mabango mabarabarani huku tukiimba na kulia, ?! Why??!
Dah, noma.

Umenikumbusha huku majuzi nimeshangaa tumekwenda kusherehekea kumaliza mwaka, kwenye Italian restaurant ya kishua, sasa kuna kijana mmoja mdogo kaja na mke wake.

Tumeanza kuagiza vinywaji, yule dada akaagiza some sort of martini drink, yule waiter akamuuliza atoe kitambulisho cha kiserikali kuhakikisha kuwa amefikisha umri wa kunywa pombe.

Yani hata restaurant ikiuza glasi ya wine kwa mtu ambaye hajafikia umri inapigwa faini ndefu. Madukani hupati pombe mpaka kwenye duka maalum lenye kibali cha kuuza pombe, na ukija kununua mtu unaonekana mdogo wanakuuliza kitambulisho wahakiki umri wako.

Inaonekana huko Tanzania watu hawajali mambo kama haya.
 
Watu tumezaliwa nyumbani wanapika pombe mtoto ukitoka shule kazi yako kukamua mbege!
 
Back
Top Bottom