mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Siamini kwamba watu wa juu huko hawaoni tatizo....
Kuna mahali rupia inapenyezwa wanaangalia pembeni.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata waweke kwenye ujazo wa pipa, bado itapimwa tu kwa buku buku!! Hapo unasemaje?!Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..
Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Hakuna anayejali.Dah, noma.
Umenikumbusha huku majuzi nimeshangaa tumekwenda kusherehekea kumaliza mwaka, kwenye Italian restaurant ya kishua, sasa kuna kijana mmoja mdogo kaja na mke wake.
Tumeanza kuagiza vinywaji, yule dada akaagiza some sort of martini drink, yule waiter akamuuliza atoe kitambulisho cha kiserikali kuhakikisha kuwa amefikisha umri wa kunywa pombe.
Yani hata restaurant ikiuza glasi ya wine kwa mtu ambaye hajafikia umri inapigwa faini ndefu. Madukani hupati pombe mpaka kwenye duka maalum lenye kibali cha kuuza pombe, na ukija kununua mtu unaonekana mdogo wanakuuliza kitambulisho wahakiki umri wako.
Inaonekana huko Tanzania watu hawajali mambo kama haya.
Za kuambiwa changanya na zakoHakuna anayejali.
Wao ilimradi watoto wao wapo Feza international na IST mliobaki huku mtajijua wenyewe.
Kwenye uzi wangu nimeelezea kijana kamchoma kisu mwenzake sababu ya hivi visungura.
Hali ni mbaya mtaani vijana wanakunywa pombe wanalala kwenye mitaro, hawafanyi kazi.
Mamalaka husika zipo tu hakuna wanalofanya.
Ishu ya madubwi ya wachina yamejaa mtaani watoto hawaendi shule wanaishia kucheza madubwi.
Hakuna Hakuna Hakuna hii nchi kila kitu shagarabagara.
Yan ni SMART GIN, aloo ina logo ya playboy sasa ndio wanaita kisungura. Ndugu hii pombe ni elfu 2 vijana wanajibandika vitatu kwa 6 mambo wanalewa kabla hata hawajaliZa elfu kumi, madogo janja wa boda boda ndio vitu vyao hivyo…SERIKALI IINGILIE KATIKuna wimbo mmoja wa Singeli jamaa anasema siku hizi wameacha viloba mambo ni Safari na Savanna, nikajua tumepiga hatua.
Kumbe kuna visungura?
Sasa visungura vikoje hivyoo?
Nimepiga sana vita dubwi alooh nimetukanwa sana daaah kwisha kaz vijana tzHakuna anayejali.
Wao ilimradi watoto wao wapo Feza international na IST mliobaki huku mtajijua wenyewe.
Kwenye uzi wangu nimeelezea kijana kamchoma kisu mwenzake sababu ya hivi visungura.
Hali ni mbaya mtaani vijana wanakunywa pombe wanalala kwenye mitaro, hawafanyi kazi.
Mamalaka husika zipo tu hakuna wanalofanya.
Ishu ya madubwi ya wachina yamejaa mtaani watoto hawaendi shule wanaishia kucheza madubwi.
Hakuna Hakuna Hakuna hii nchi kila kitu shagarabagara.
Juzi tu hapa tumezika dogo kitaa hekaheka za mwaka mpya kavigomga kinyama ...kazima...kwenda hospital wamechelewa kavuta....Aisee ni hatari, ni vipombe vyenye very high alcohol levels, ambavyo vimefanywa so readily available kwa kuwekwa kwenye vichupa vidogo vya plastiki, wanauza sijui buku buku huko mtaani, vimesambaa na vinapatikana hovyo hovyo kama bigijii.., aiseee
Kuna kijana mmoja mtaani nilimuona sikuamini, kijana alikuwa kidari zamani, alikuwa na afya nzuri sana na mwenye muonekano mzuri, ila kwa sasa kabaki skeleton, kawa kama chizi muokota makopo, akiamka hadi anaenda kukala ni visungura , hata kula hali.., hivi hii serikali yetu haijali vijana namna hii.., mnataka hadi tuanze kutembea na mabango mabarabarani huku tukiimba na kulia, ?! Why??!
Acha kuharibu starehe za watuWapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..
Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Hakuna anayejali.
Wao ilimradi watoto wao wapo Feza international na IST mliobaki huku mtajijua wenyewe.
Kwenye uzi wangu nimeelezea kijana kamchoma kisu mwenzake sababu ya hivi visungura.
Hali ni mbaya mtaani vijana wanakunywa pombe wanalala kwenye mitaro, hawafanyi kazi.
Mamalaka husika zipo tu hakuna wanalofanya.
Ishu ya madubwi ya wachina yamejaa mtaani watoto hawaendi shule wanaishia kucheza madubwi.
Hakuna Hakuna Hakuna hii nchi kila kitu shagarabagara.
Nobody cares mkuuDah, noma.
Umenikumbusha huku majuzi nimeshangaa tumekwenda kusherehekea kumaliza mwaka, kwenye Italian restaurant ya kishua, sasa kuna kijana mmoja mdogo kaja na mke wake.
Tumeanza kuagiza vinywaji, yule dada akaagiza some sort of martini drink, yule waiter akamuuliza atoe kitambulisho cha kiserikali kuhakikisha kuwa amefikisha umri wa kunywa pombe.
Yani hata restaurant ikiuza glasi ya wine kwa mtu ambaye hajafikia umri inapigwa faini ndefu. Madukani hupati pombe mpaka kwenye duka maalum lenye kibali cha kuuza pombe, na ukija kununua mtu unaonekana mdogo wanakuuliza kitambulisho wahakiki umri wako.
Inaonekana huko Tanzania watu hawajali mambo kama haya.
Mfumo ndiyo unataka hivyo
Watu walewe wawe walevi,watu wawe concerntrate tu na starehe na mamiziki
Mapiraaa
Huku wao na familia zao zinasonga
Za kuambiwa changanya na zako
Ova
Mimi mpaka kutishiwa mkuu.Nimepiga sana vita dubwi alooh nimetukanwa sana daaah kwisha kaz vijana tz
Hata visungura visipokuepo hao vijana wa hovyo watakunywa pombe chafuWapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama bigijii.
Waweke either kwa packaging ya ujazo mkubwa zaidi ili isizagae na kununuliwa hovyo kama karanga mitaani, au waweke kwenye packaging ghali zaidi ya chupa za kioo, sio hivi viplastiki wanapima kama mkojo na kuuza buku buku.., huu ni uuwaji kabisa..
Serikali ingieni mitaani muone kinachotokea kwa vijana hujo Arusha na kwingineko, hivi mmafurahi watoto wa wenzenu wanavyogeuka mazombi?!
Uliondoka lini Tanzania?; Kweli hujui hali tunavyoishi bila utaratibu huku Africa? Huku hata kiduka cha kuuza nyanya mwenyewe kaficha kiboksi cha visungura anauzia mtu yoyote. Tena anagawa nusu nusu anauza buku buku.Dah, noma.
Umenikumbusha huku majuzi nimeshangaa tumekwenda kusherehekea kumaliza mwaka, kwenye Italian restaurant ya kishua, sasa kuna kijana mmoja mdogo kaja na mke wake.
Tumeanza kuagiza vinywaji, yule dada akaagiza some sort of martini drink, yule waiter akamuuliza atoe kitambulisho cha kiserikali kuhakikisha kuwa amefikisha umri wa kunywa pombe.
Yani hata restaurant ikiuza glasi ya wine kwa mtu ambaye hajafikia umri inapigwa faini ndefu. Madukani hupati pombe mpaka kwenye duka maalum lenye kibali cha kuuza pombe, na ukija kununua mtu unaonekana mdogo wanakuuliza kitambulisho wahakiki umri wako.
Inaonekana huko Tanzania watu hawajali mambo kama haya.
Hapana, visungura vinatangazwa kwenye radio na tv tena wakati wa taarifa za habari wakati wengi wanatizama. Hakuna sheria inayokataza pombe ila kuna muda wa kufungua bar. Sasa visungura ni portable. Mtu ananunua anaweka mfukoni anaenda kijiweni. Wengine wanauza hapohapo vijiweni. Kudhibiti ni ngumu kama watumiaji hawatajielewa.Siamini kwamba watu wa juu huko hawaoni tatizo....