Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni wazi kuwa hayati JPM hakuwa amezungukwa na wanaCCM wema. Na walikuwa wakimchukia huku wakimkenulia meno.
Huyu Godbless Lema akikuwepo hapa nchini na alikuwa mbunge huko Arusha na hakuwahi kukimbia nchi mpaka alipokosa ubunge.
Tundu Lissu pamoja na kupata matatizo ya kuvamiwa na bad assailants lakini yupo huru kurudi nchini na kuishi nchini ndio maana alirudi mwaka 2020 na kugombea urais wa JMT.
Leo hii unafanyika unafiki wa kumchafua hayati JPM? Wananchi wanajua nini kinaendelalea.
Huu ni unafiki
👇